Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Unavyo weka utafikiri ukitoka Mombasa mpaka Kisumu barabara ziko hivyo, hata kwetu tunazo barabara za kujivunia.Sawa naweza kuwa nimekosea kwenye upande unaotumika kuendesha gari lakini hata hivyo hadhi ya barabara iliyoonyeshwa hapo haiwezi kupatikana Tanzania. Hii hapa barabara ya Kenya iliyo kwenye kiwango kama hicho.
![]()