Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
camera ziko wapi hapo mbona hata hayo huku yapo mengi wewe vipi wewe bila shaka unatoka county ya mandela ndio maana unadhan hizo ni camera
wakenya kila kitu mnacho hamjawahi kuzidiwa na nchi yoyote duniani....Huwezi elewa. Zingekua Tz ungeelewa.
Yani, watakuambia Adam na Eva walizaliwa Kenya.wakenya kila kitu mnacho hamjawahi kuzidiwa na nchi yoyote duniani....
Hii sasa ni "desesperado". Hebu angalia hiyo picha vizuri, hiyo kweli ni Kenya? Siku hizi mnaendesha magari upande wa kulia?Afu ujue ulivyo mshamba, hii picha umetumia kwenye uzi wako imepigwa Kenya halafu unasema ipo Tanzania, yaani huko Tanzania ni wapi utapata barabara za kihivi. Vyote ulivyovitaja kama LUKU mumebuni kutoka Kenya
![]()
LolHuwezi elewa. Zingekua Tz ungeelewa.
[emoji2] [emoji2] was about to ask huyo mtoa post same questionUnaongea nini wewe!? Mbona hueleweki!?
Bila kupoteza muda kichwa cha Habari chahusika,
Hizi ni baadhi ya machines ambazo zimekua common kwa maisha ya kila siku Tanzania lakini kwa upande wa majirani zetu ni kitendawili
na pengine hawajawahi kuziona wala kuzisikia au baadhi yao waliopata bahati ya kuitembelea Tanzania ndipo walipokutana nazo for the first time in their whole lives.
1. Ni LUKU (Lipia Umeme Kadiri Utumiavyo) Tanesco token ya muda mrefu, ni kifaa kinachokuwezesha kununua units za tanesco kuendana na pesa yako utapewa digits
ambazo utazijaza kama airtime kwenye token yako, utaweza kutumia units zako zikiisha automatically meter itazuia umeme mpaka utakapo recharge tena, zipo sana Tanzania nzima mpaka vijijini lakini Kenya hakuna
![]()
2. Ni Road Traffic Speed Radar, hii ni kifaa ambacho Tanzania kimezoeleka kama torch,
askari wa usalama barabarani anapima mwendo wa gari hata kama gari lipo mbali na ukimfikia atakupa notification kama ulikua kwenye high speed tofauti na speed inayotakiwa mahali hapo utaandikiwa fine. Zipo nchi nzima lakini Kenya ni kitendawili.
NB ni chanzo kikubwa cha revenues kwa sasa.
![]()
3. Tanzania Revenue Authority EFD, ni machines za kitolea risiti ambazo zinatumika kwa kila mfanyabiashara na mtoa huduma
Tanzania ambapo zipo connected to the database ambapo inamuwezesha mfanyabiashara kuweka memory ya selling na TRA kupata actual revenue kuendana na business flow hii ipo Tanzania tu, Kenya hazipo.
![]()
To be continued. .. .
Nisipochukua risiti hapewi mwingine? They should have PAYMENT POINT SUPPORTED BY EFD MACHINE before getting serviceskwa swala la korogwe kwenye Hotels wanafanya hivyo to save time coz wanajua wateja wao ni abiria so hawana muda mrefu wa kusubir huduma
I can't do that now, I came to realize that I overdose you to the extent of being paralyzed the whole coordination system which was not my primary choice, so I will be giving proposional accordingly to your mental status thank you.To be continued....
Why havent u continued with list? Dont tell me that ya busy!
Btw, have u got these in your streets?
![]()
I can't do that now, I came to realize that I overdose you to the extent of being paralyzed the whole coordination system which was not my primary choice, so I will be giving proposional accordingly to your mental status thank you.
Hii sasa ni "desesperado". Hebu angalia hiyo picha vizuri, hiyo kweli ni Kenya? Siku hizi mnaendesha magari upande wa kulia?