Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

EFD unazoziongelea ni zile tupo nazo supermarket za tembocard, Visa card, master card ambazo hata hapa Tanzania zipo miaka mingi sana
No,nilikwenda kule induction na nilikuwa nikienda sales field na wenyeji wangu,they were using those machines to give receipts
 
Come here Redeemer look at these and Go sleep

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Hizo anazosema hata hapa Tanzania zilikua miaka chungu mbovu ila hizi modern zipo kwenye social services nikuulize ukiingia choo cha public Kakamega wanakupa EFD receipt?
 
Kenya wako ahead wazee tuache Porojo Tz ni kama God tu ana bless but we are not care bout our security, Sasa Ingetokea alshababi Wako Tz tungekufa zaidi ya Kenyans walivo kufa, Police tz wapo wapo tu kituo cha polisi unakuta kina Computer moja kwa ajili ya Kuprintia documents hata camera hakina kwa surveillance, Once you visit Nairobi u will realise that these guys are very serious, We have better to learn shm through them
 
Ukiona mtubanalinganisha kenya na Tanzania ujue hajawai fika kenya. Anaisikiaga tu kwenye TV.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
This is a cool ass reply tho'
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Kenya hakuna LUKU hata ukilia like a baby
 
That is Kisumu sete

731d038d33edd816ddae98f7d575b275.jpg
0e8893bbedf0e4b6709d717dcc33b1af.jpg

[emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app

I dont know if the Tazara flyover project is still on.....since 2015, there was all this talk about it being tge "biggest".
Geza has gone quite on the issue these days.
 
I dont know if the Tazara flyover project is still on.....since 2015, there was all this talk about it being tge "biggest".
Geza has gone quite on the issue these days.
Lol wakijua project haiko on offer anymore huwa wana hibernate mpaka next project

Geza alianza ike thread ya Kucheka lappset ika backfire Lappset Sai iko Faya

Also the Kenyan 999 line toll free was reopened

Call 999 to report anythinga about terrorism uone how long ATPU will take to get to you location
26b51d6fda30aa309d3dad273d4c14e3.jpg

NAIROBI, Kenya Aug 2 – Police say emergency number 999 has been restored to help curb rising crime in the country.
In Nairobi, 22 lines have been allocated and police announced on Friday that they are all working round-the-clock.
“The lines are back,” Nairobi Police chief Benson Kibui said, and cautioned users against calling the lines when they do not have emergencies to report.

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
I dont know if the Tazara flyover project is still on.....since 2015, there was all this talk about it being tge "biggest".
Geza has gone quite on the issue these days.

It's just one of those boardroom projects. hadi sahii hamna lolote. Usishangae SGR yao ikienda vivyo hivyo. Heri hii yetu Na macorruption scandal zake ila imefanyika tunaiona kwa macho.
 
hahaha very useless thread, Kenya ina vitu vingi sana amabavyo haviko East Africa yote, hii ni mada ya kijinga sana.
 
Huu uzi ni maalumu kwa kuwatoa povu wakenya [emoji23] [emoji23]
 
Mashine za EFD zilikuwepo Kenya siku nyingi kabla ya kuja Tanzania.
 
It's just one of those boardroom projects. hadi sahii hamna lolote. Usishangae SGR yao ikienda vivyo hivyo. Heri hii yetu Na macorruption scandal zake ila imefanyika tunaiona kwa macho.
Wewe nimekuweka kiporo tu. Tutakutana kwenye mitandao tu. Subiri, ulivyo tukashifu na kututukana watanzania kwenye mitandao. Lazima hii issue tumalizane. Siwezi kukubali hata kidogo. Mlikuwa mnashindana na Nigeria iweje ututukane sisi!?
 
Ukiona mtubanalinganisha kenya na Tanzania ujue hajawai fika kenya. Anaisikiaga tu kwenye TV.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kwanini unaikosoa serikali ya Tanzania na kujihusisha na siasa za kitaifa na wewe sio m-Tanzania?
 
Back
Top Bottom