Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Bila kupoteza muda kichwa cha Habari chahusika,

Hizi ni baadhi ya machines ambazo zimekua common kwa maisha ya kila siku Tanzania lakini kwa upande wa majirani zetu ni kitendawili

na pengine hawajawahi kuziona wala kuzisikia au baadhi yao waliopata bahati ya kuitembelea Tanzania ndipo walipokutana nazo for the first time in their whole lives.

1. Ni LUKU (Lipia Umeme Kadiri Utumiavyo) Tanesco token ya muda mrefu, ni kifaa kinachokuwezesha kununua units za tanesco kuendana na pesa yako utapewa digits

ambazo utazijaza kama airtime kwenye token yako, utaweza kutumia units zako zikiisha automatically meter itazuia umeme mpaka utakapo recharge tena, zipo sana Tanzania nzima mpaka vijijini lakini Kenya hakuna



2. Ni Road Traffic Speed Radar, hii ni kifaa ambacho Tanzania kimezoeleka kama torch,

askari wa usalama barabarani anapima mwendo wa gari hata kama gari lipo mbali na ukimfikia atakupa notification kama ulikua kwenye high speed tofauti na speed inayotakiwa mahali hapo utaandikiwa fine. Zipo nchi nzima lakini Kenya ni kitendawili.
NB ni chanzo kikubwa cha revenues kwa sasa.



3. Tanzania Revenue Authority EFD, ni machines za kitolea risiti ambazo zinatumika kwa kila mfanyabiashara na mtoa huduma

Tanzania ambapo zipo connected to the database ambapo inamuwezesha mfanyabiashara kuweka memory ya selling na TRA kupata actual revenue kuendana na business flow hii ipo Tanzania tu, Kenya hazipo.



To be continued. .. .
 
You're just as ignorant as a village idiot. Ww untoka Mwanza ukaingia Dar wiki jana ukaziona mara ya kwanza ukadhani nchi jirani hazina ?

Vitu vyenye mi huona hapa ni Neanderthal kweli. Just so you know, hata shosh wangu ako na hiyo ghasia ( PAYG Power tokens ) unachodhani kuwa adimu kama iPhone!
 
Unaongea nini wewe!? Mbona hueleweki!?
 


Huu ni upuzi. All these are available in Kenya.
 
Namba tatu hauko sahihi. Kenya hata ukinunua sausage au sambusa unalipa, unapewa risiti ndiposa upewe sausage yako au sambusa. Ile risiti unayopewa ni ya machine ya EFD (KRA); kwa hiyo wao wamezoea na wala hakuna ujanja ujanja kama wa kwetu.

Kwa wanaosafiri kati ya Dar na Arusha pale Korogwe kuna hotel kama tatu; mara nyingi ukipita pale unakuta wana baadhi ya risiti wameshaprint ukinunua say mtori wanakupatia ile siyo sahihi; sahihi wanatakiwa wawe na POINT OF PAYMENT ambako utalipia unachotaka na kupewa risiti ambayo utaenda kuchukulia chakula au kinywaji chako na hiki ndicho kinachofanyika KENYA, kila mgahawa una POINT OF PAYMENT na sehemy ya kuchukulia chakula baada ya kulipia na kupewa risiti ya EFD
 
Lol Nani ndio hana Tokens kenya pliz kama hauna issue nyamaza

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Use proper language none of the above is either grammatical or pleasant, kwanza hizo machines hazipo mjini tu bali mpaka vijijini na huko Kenya me sio mgeni napaelewa vizuri na ukweli ni kwamba hamna hizi technologies hamna.
 
Lol Nani ndio hana Tokens kenya pliz kama hauna issue nyamaza

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Token is a broad term sio token ni token nimeongelea hapo sababu hata your cell phone may be a token
 
Speed Guns , Chase Cars and Other Issues


New Digital Driving Licenses


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Let me put this ignorant thread to sleep


TOKENS




Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
We mshamba kabisa huelewi kitu hiyo ni mpesa token huku Tanzania tunaiita maxmalipo au selcom that has nothing to do with LUKU which am talking about you fool
 
Kenya !!!!!???? Mbona nilianza kuona EFD miaka ya 90 tena Isebania sio Nairobi
 
NTSA chase Cars

Now Go steer more Rumours Somewhere Else

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Speed Guns , Chase Cars and Other Issues


New Digital Driving Licenses


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Na hii ndio mmeipata juzi that electronic license mmeipata hata week hamna so you still too low.
 
Kenya !!!!!???? Mbona nilianza kuona EFD miaka ya 90 tena Isebania sio Nairobi
Acha ujinga wewe ipo tofauti kati ya EFD zile za tembocard ya crdb ambazo zilikuepo tokea 2000s na hizi za TRA za saivi naona unathan kila kimkebe kinachotoa risiti ni EFD.
 
Iconoclastes
Huyu jamaa hana issue nikuanzisha thread ili apate company juu ameboeka mahali alipo....hzi vitu zote zlianzia Kenya ...hata Philips inaundia hzo mashine za Tokens hapa Nairobi ndio ziende kule Dar....nashangaa...

NTSA, Traffic Police, Camera Allover our Roads taking Pictures, Asin KAMA umetembea Mombasa Nairobi ama Nakuru Usiku kwa gari utakuwa unaona flashing lights Kila Saa Camera zimejaa zinachukua Picha Yako zinatuma Police HQ for filtering and interpretation smh


Look at those Cameras ...smh!!...

ww redeemer enda kazi

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…