Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Take ur L in peace wachakuanza kutokwa povu.....jielimishe kabla ya Kifungua threadz za kijingaAcha ujinga wewe ipo tofauti kati ya EFD zile za tembocard ya crdb ambazo zilikuepo tokea 2000s na hizi za TRA za saivi naona unathan kila kimkebe kinachotoa risiti ni EFD.
Philips wenyewe walikua na electronic farm Arusha mpaka leo go to Arusha you will still find their factory.Iconoclastes
Huyu jamaa hana issue nikuanzisha thread ili apate company juu ameboeka mahali alipo....hzi vitu zote zlianzia Kenya ...hata Philips inaundia hzo mashine za Tokens hapa Nairobi ndio ziende kule Dar....nashangaa...
NTSA, Traffic Police, Camera Allover our Roads taking Pictures, Asin KAMA umetembea Mombasa Nairobi ama Nakuru Usiku kwa gari utakuwa unaona flashing lights Kila Saa Camera zimejaa zinachukua Picha Yako zinatuma Police HQ for filtering and interpretation smh
Look at those Cameras ...smh!!...
ww redeemer enda kazi
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Sawa ...tell urself whatever makes tou happy.Philips wenyewe walikua na electronic farm Arusha mpaka leo go to Arusha you will still find their factory.
Nafikiri natakiwa niwape elimu ya kutosha about what I am talking about, all of you are way awkward naongea kuhusu saivi Tanzania tunakunywa chai kwa burger nyie mnaniambia shut off hata sisi tunakunywa togwa kwa maembe wtfTake ur L in peace wachakuanza kutokwa povu.....jielimishe kabla ya Kifungua threadz za kijinga
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Fine, lakini zipo Kenya....In Tanzania zipo from 2004
Sasa kati yangu na wewe ni nani mjinga, maana mimi sijakuita majina kama hayo, wewe waniita mjinga. Ujue dunia imeishatoka kwenye hivyo vitu ambavyo wewe unaona vina maana, kwa mfano hizo speed camera zinafungwa barabarani zinachukua taarifa na kutumwa kituo cha polisi sio hao mapolisi wako wanaojificha vichakani mwisho waumwe na nyoka.Acha ujinga wewe ipo tofauti kati ya EFD zile za tembocard ya crdb ambazo zilikuepo tokea 2000s na hizi za TRA za saivi naona unathan kila kimkebe kinachotoa risiti ni EFD.
Huu ni upuzi. All these are available in Kenya.
EFD unazoziongelea ni zile tupo nazo supermarket za tembocard, Visa card, master card ambazo hata hapa Tanzania zipo miaka mingi sanaNilikwenda Kenya kwa mara yangu ya kwanza mwaka 2007 mwezi wa 7 nilikuta wakitumia EFD machines nilishangazwa.
Come here Redeemer look at these and Go sleepNilikwenda Kenya kwa mara yangu ya kwanza mwaka 2007 mwezi wa 7 nilikuta wakitumia EFD machines nilishangazwa.
Use proper language none of the above is either grammatical or pleasant, kwanza hizo machines hazipo mjini tu bali mpaka vijijini na huko Kenya me sio mgeni napaelewa vizuri na ukweli ni kwamba hamna hizi technologies hamna.
Tell HIM muelimisheSasa kati yangu na wewe ni nani mjinga, maana mimi sijakuita majina kama hayo, wewe waniita mjinga. Ujue dunia imeishatoka kwenye hivyo vitu ambavyo wewe unaona vina maana, kwa mfano hizo speed camera zinafungwa barabarani zinachukua taarifa na kutumwa kituo cha polisi sio hao mapolisi wako wanaojificha vichakani mwisho waumwe na nyoka.
This is a cool ass reply tho'Fine, lakini zipo Kenya....
That is Kisumu sete
Na hii barabara kweli iko Tanzania?