Zamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano!
1. Wanapenda sana kuitwa "wakili msomi"
2. Hata kuwe na jua Kali namna gani hawaachi kuvaa yale magauni meusi na tai za kisabato
3. Wakili yoyote hata kama hana kazi siku hiyo ukimwambia tu siku na muda wa kesi yako mahakamani lazima akwambie! Ana kesi nyingine mahamani siku hiyo au siku moja kabla ya kesi yako lakini atakuhakikishia pia atakuja kukutetea (complication theory)
4. Ukimpigia simu kama hakujui anakata kwanza halafu anakutext (niko mahakamani nani) halafu bdae ndo anakupigia sasa
5. Kesi yoyote hata kama utafungwa hakwambii, atakwambia "Ondoa shaka kesi nyeupe hii"
6. Kesi zote zenye public interest mawakili wanapenda sana kuonesha hawako kimaslahi ya pesa
7. Kesi ya kuku lakini usishaangae akaja na burungutu kajaza begi la nguo na kimkoba kwa pembeni
8. Kila siku ya kesi wanapenda kuomba nauli 100k~500k utadhani wanapanda helkopita.
9. ...ongezea tabia unayoijua nyingine hapo!
Hadi hapo nimejifunza kwamba ukitaka kuwa wakili lazima pia ujue kucomplicate Mambo!
- Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye biashara na mikataba tu
- Wapo mawakili wazuri kwa ajili ya kugonga mihuri tu