Ila uliyosema wewe ukidai ni mtazamo wako ndio tuuchukulie maanani! Huenda najibishana na mpumbavu.Unasema hudhani,bado unataka tuuchukulie maanani mtazamo wako!
Tukushangae sasa eti??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila uliyosema wewe ukidai ni mtazamo wako ndio tuuchukulie maanani! Huenda najibishana na mpumbavu.Unasema hudhani,bado unataka tuuchukulie maanani mtazamo wako!
Tukushangae sasa eti??
Ukweli upo, mawakili wa Tanzania lazima uwasimamie. Kuanzia intent to sue, plaint na watapoingia kwenye kesi. Lazima uwepo na wewe ujisomee na uwaulize kwanini wanasimamia hoja zao na wakupe kesi za mifano.Vipi tetesi za tabia ya kula pande mbili na wakili wa adui zinaukweli wowowte?
Alaa! Kumbe? Hapo kwenye "tuma sms" naona nakaribia kuwa qualified wakili msomi.Weee labda hujakutana nao,kuna mwingine anayo namba yangu na ananifahamu bahati nzuri ni pesa nilikuwa nikimpigia nimpatie,cha ajabu hakuwa akipokea mpaka ikate afu apige yeye au akwambie tuma sms.
Ukweli mtoa mada amewaongelea vizuri mnoo na bado kuna point nyingi hajazigusia wadau tutiririke ili liwe fundisho kwa vijana wanaochipukia.
Kwao nilikuja gundua kitu kimoja,
Sangoma,
Manabii/wachungaji wa mchongo,
Madalali,
Mawakili,wote ni kundi moja sema ktk misheni tofauti!(sorry ni mtazamo wangu)
DuhUkweli upo, mawakili wa Tanzania lazima uwasimamie. Kuanzia intent to sue, plaint na watapoingia kwenye kesi. Lazima uwepo na wewe ujisomee na uwaulize kwanini wanasimamia hoja zao na wakupe kesi za mifano.
Zipo nyingi.
Mawakili wengi Tanzania ni matapeli. Zaidi ya 75% ni matapeli.
Umekaribia kuvaa joho msomiAlaa! Kumbe? Hapo kwenye "tuma sms" naona nakaribia kuwa qualified wakili msomi.
Kila siku ya kesi nauli 200kHao jamaa naskia kabla ya kuanza kesi lazima umpe hela in advance alaf baadae kias kidogo kilochobak ndo ummalizie. Na pia wana tabia ya kula kuwili esp kama opponent wako ni mtu mzito alaf ww ndo unadhulumiwa (kesi imaku favour). Atakuja na mbiringe za kukutisha ili uache kesi apige hela.
All in all ni matapeli, waongo waganga njaa.
-ukitaka kuisimamia Plaint unafanyaje kwani?Ukweli upo, mawakili wa Tanzania lazima uwasimamie. Kuanzia intent to sue, plaint na watapoingia kwenye kesi. Lazima uwepo na wewe ujisomee na uwaulize kwanini wanasimamia hoja zao na wakupe kesi za mifano.
Zipo nyingi.
Mawakili wengi Tanzania ni matapeli. Zaidi ya 75% ni matapeli.
- mimi nadhani kama ni waongo na matapeli naona ni bora ujaribu kuendesha kesi mwenyewe.Hao jamaa naskia kabla ya kuanza kesi lazima umpe hela in advance alaf baadae kias kidogo kilochobak ndo ummalizie. Na pia wana tabia ya kula kuwili esp kama opponent wako ni mtu mzito alaf ww ndo unadhulumiwa (kesi imaku favour). Atakuja na mbiringe za kukutisha ili uache kesi apige hela.
All in all ni matapeli, waongo waganga njaa.
Isiwe tabu sio!😀😀- mimi nadhani kama ni waongo na matapeli naona ni bora ujaribu kuendesha kesi mwenyewe.
Hivi sheria inaruhusu mtu anaweza endesha kesi mwenyewe? Bila wakili kwenye mahakama kuu au wilaya?- mimi nadhani kama ni waongo na matapeli naona ni bora ujaribu kuendesha kesi mwenyewe.
Ujinga Sana huuHao jamaa naskia kabla ya kuanza kesi lazima umpe hela in advance alaf baadae kias kidogo kilochobak ndo ummalizie. Na pia wana tabia ya kula kuwili esp kama opponent wako ni mtu mzito alaf ww ndo unadhulumiwa (kesi imaku favour). Atakuja na mbiringe za kukutisha ili uache kesi apige hela.
All in all ni matapeli, waongo waganga njaa.
Inaruhusu kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama ya Rufani.Hivi sheria inaruhusu mtu anaweza endeaha kesi mwenyewe? Bila wakili kwenye mahakama kuu au wilaya?
Ooh unaweza hata kumhoji shahidi wa jamhuri unaijua P.G.O?Inaruhusu kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama ya Rufani.
Na ukiendesha mwenyewe unakuwa na mamlaka ya kufanya mambo yote ya kisheria kama ambavyo yangefanywa na wakili
Kawaida ni kuwa unatakiwa kulipa hela yote wakati wa kumpa kazi (engagement) ndipo aanze kazi, hiyo ya kulipana kidogokidogo ni uungwana tubwa mawakili kwa kuzingatia uchumi wa Tanzania.Hao jamaa naskia kabla ya kuanza kesi lazima umpe hela in advance alaf baadae kias kidogo kilochobak ndo ummalizie. Na pia wana tabia ya kula kuwili esp kama opponent wako ni mtu mzito alaf ww ndo unadhulumiwa (kesi imaku favour). Atakuja na mbiringe za kukutisha ili uache kesi apige hela.
All in all ni matapeli, waongo waganga njaa.
Sio kumhoji tu bali unaweza hata kumwambia aisome PGO mbele ya mahakama, unaweza hata kumwambia kuwa anaongea uongo mahakamani au unaweza kumuita kabisa kuwa ni muongo na asiyeaminika.Ooh unaweza kumhoji shahidi unaijua P.G.O?
Mambo ya ngosweMambo yao waachie wenyewe...
Watanzania wengi nikiri hata Mimi hatujui sheria and we don't have confidence to urge in front of juriesSio kumhoji tu bali unaweza hata kumwambia aisome PGO mbele ya mahakama, unaweza hata kumwambia kuwa anaongea uongo mahakamani au unaweza kumuita kabisa kuwa ni muongo na asiyeaminika.