Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,640
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua vipi zaidi ya hawa wako magazetini kila siku kesi zao za wanasiasa.Hapana,kikubwa ni kutafuta connection ya walioiva.Hujui mjini kila kitu ni connection??
Wale wazuri hawapatikani hivihivi!
Ungepigwa kama mandonga hivihivHongera kwa ufafanuzi,inaonesha unaoufahamu juu ya Law firm.
Naomba msaada,kuna wakili msomi mmoja nilikuwa naye ktk kesi flani.
Yeye alinihakikishia kuwa hii keshi haina madhara kwako kwa point nyingi,
mbili kati ya hizo kwanza alidai wamekosea kunifungulia kesi ya hivyo,
pili alidai wamenukuu vifungu visivyostahili.Lakini alidai hatawek pingamizi mpaka kesi ifike mwisho then ajekuwakamatia ktk makosa hayo.Je,ingeleta mashiko wakati kesi ishafika hukumu au ndo ingekuwa kutosana?
Wapi Adv MbogoZamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano!
Hii hapa ni baadhi tu ya mikwara na mbwembwe ya kina hawa ndugu wanaoitwa MAWAKILI (WANASHERIA)
- Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye biashara na mikata tu
- Wapo mawakili wazuri kwa ajili ya kugonga mihuri tu
1. Wanapenda sana kuitwa "wakili msomi"
2. Hata kuwe na jua Kali namna gani hawaachi kuvaa yale magauni meusi na tai za kisabato
3. Wakili yoyote hata kama hana kazi siku hiyo ukimwambia tu siku na muda wa kesi yako mahakamani lazima akwambie! Ana kesi nyingine mahamani siku hiyo au siku moja kabla ya kesi yako lakini atakuhakikishia pia atakuja kukutetea (complication theory)
4. Ukimpigia simu kama hakujui anakata kwanza halafu anakutext (niko mahakamani nani) halafu bdae ndo anakupigia sasa
5. Kesi yoyote hata kama utafungwa hakwambii, atakwambia "Ondoa shaka kesi nyeupe hii"
6. Kesi zote zenye public interest mawakili wanapenda sana kuonesha hawako kimaslahi ya pesa
7. Kesi ya kuku lakini usishaangae akaja na buruguntu kajaza begi la nguo na kimkoba kwa pembeni
8. ...ongezea tabia unayoijua nyingine hapo!
Hadi hapo nimejifunza kwamba ukitaka kuwa wakili lazima pia ujue kucomplicate Mambo!
IlikuwajeMawakili walio serious na kazi zao wapo wengi sana japo wababaishaji wapo pia
Nakumbuka niliwahi fanya kosa ambalo hata kwa wewe usiye wakili ilitosha kujua kuwa mimi naingia jela tena si chini ya miaka 40 ila kuna mwamba wakili msomi alisimama na mimi mpaka leo niko free
Kuhusu mbwembwe sio wote japo baadhi wako hivyo
Malipo yalikuwa ya kawaida sana kwake
Alikuwa muungwana sana ndguHakuwa na mbwembwe mahakaman tulikua tunatembea mdogomdogo baada ya kunywa kahawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwann kuchimbua ya malipo mwenzako hahahHata aambulie laki saba ktk kesi flani atakwambia alipiga milioni 7 kwenye ile kesi.
Yeah wanaotanguliza maslah mbele huwa wanazinguaAlikuwa muungwana sana ndgu
Au kodi bodabodaSikia ushauri wa huyu mwambaView attachment 2337367
Ndo kwanza anakusanya mikoba na makablasha aanze kazi maana katunukiwa uwakili juzi bado anachonga mhuriNgoja nimualike Wakili Msomi Pascal Mayalla labda atatujuza anayokumbana nayo kunako Corridor za mahakama.
Mheshimiwa, naona kuna sehemu umejielekeza vibaya. Defects nyingi ambazo mawakili wasomi huwa wanaweka mapingamizi ni zile ambazo haziwezi kurekebishika hata kwa kutumia Oxygen principle.Mapingamizi ni nyenzo ya wanasheria wazembe wanaoogopa jambo kusikilizwa kwenye substance, Yaani wanazuia mtu asisikilizwe kwa sababu ndogo ndogo sana za kiufundi. Katiba ya nchi inaeleza kuwa mahakama katika kutoa haki haitakiwi kukomaa na mambo ya kiufundi bali ijikite katika kusikiliza shauri kwenye substance (merit), kwa kuzingatia hilo ndio sababu Jaji Mkuu kutunga kanuni maarufu ziitwazo Oksijeni (overriding objective) ili kutoa tiba kwa mapingamizi yasiyo na maana. Uelekeo mbeleni ni kuja kuyaondoa kabisa mapingamizi mahakamani, watu wasikilizwe kwenye merit. Pingamizi labda liwe uwezo wa mahakama.
Kuhusu gharama za kesi, hata ukiwa na wakili, upande unaoshinda ni lazima upewe gharama, na ukinyimwa basi kuwe na sababu za kwa nini umenyimwa.
Ndo kwanza anakusanya mikoba ya makablasha aanze kazi maana kanukiwa uwakili juzi bado anachonga mhuri
Yes! Ukiulizwa una mwanasheria jibu yupo mwamba mayallaHaaaa haaaa kwahiyo Pascal Mayalla ndio yuko form one.Kwakuwa ni mwanaJF mwenzetu tumpelekee hata vikesi vya Kuku ili apate uzoefu.
Hivi ni Kwanini wanabeba begi la nguo? Zinakuwa za nn? Au sio nguo ni makablasha tu ya kesiZamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano!
Hii hapa ni baadhi tu ya mikwara na mbwembwe ya kina hawa ndugu wanaoitwa MAWAKILI (WANASHERIA)
- Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye biashara na mikata tu
- Wapo mawakili wazuri kwa ajili ya kugonga mihuri tu
1. Wanapenda sana kuitwa "wakili msomi"
2. Hata kuwe na jua Kali namna gani hawaachi kuvaa yale magauni meusi na tai za kisabato
3. Wakili yoyote hata kama hana kazi siku hiyo ukimwambia tu siku na muda wa kesi yako mahakamani lazima akwambie! Ana kesi nyingine mahamani siku hiyo au siku moja kabla ya kesi yako lakini atakuhakikishia pia atakuja kukutetea (complication theory)
4. Ukimpigia simu kama hakujui anakata kwanza halafu anakutext (niko mahakamani nani) halafu bdae ndo anakupigia sasa
5. Kesi yoyote hata kama utafungwa hakwambii, atakwambia "Ondoa shaka kesi nyeupe hii"
6. Kesi zote zenye public interest mawakili wanapenda sana kuonesha hawako kimaslahi ya pesa
7. Kesi ya kuku lakini usishaangae akaja na buruguntu kajaza begi la nguo na kimkoba kwa pembeni
8. Kila siku ya kesi wanapenda kuomba nauli 100k~500k utazani wanapanda helkopita.
9. ...ongezea tabia unayoijua nyingine hapo!
Hadi hapo nimejifunza kwamba ukitaka kuwa wakili lazima pia ujue kucomplicate Mambo!
Hakuna kitu, ukiishi nchi nyingine hasa zilizoendelea, utagundua kuwa uonevu na untanywasaji wa watu katika nchi fulani, huenda sambamba na uweledi wa judiciary ya nchi hiyo pamoja na uwakilishi na utetezi kutoka kwa wanasheria wa serikali au binafsi.Mheshimiwa, naona kuna sehemu umejielekeza vibaya. Defects nyingi ambazo mawakili wasomi huwa wanaweka mapingamizi ni zile ambazo haziwezi kurekebishika hata kwa kutumia Oxygen principle.
Mfano unakuta mtu kafungua kesi kwenye mahakama ambayo haina jurisdiction ku determine the matter, Au unakuta mtu kafungua kesi nje ya muda bila kufuata procedures zilizowekwa na sheria.
Kitu kingine cha kukumbuka, hiyo Oxygen principle sio Panacea ndiyo maana Kuna circumstances nyingi tu wazee wa mahakama ya rufani wamegoma ku invoke oxygen principle, mfano angalia kesi ya SGS Societe Generale de surveillance SA and another v. VIP Engineering & Marketing Ltd and another,( CAT, Civ appeal no 124,2017).
Kuhusu mbwembwe sidhani kama wanazo sana, Vitu vingi wanavyofanya ni professional Yao ndo inawahitaji wafanye hivyo japo sisi watu wa kada nyingine tunaweza kutafsiri kama mikwara.
Mfano mdogo tu, nakumbuka miaka kadhaa nyuma nikiwa college watu waliokuwa wanasoma sheria ndiyo waliokuwa wanaongoza kuvaa vizuri na kuwa maridadi, Sisi tuliokuwa tunasoma taaluma zingine tulikuwa tunawaona kama vile wanajidai, lakini baadae ndo nikajua kujua kumbe Ile ilikuwa ni mahitaji ya professional Yao.
Ni hayo tu.