Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hawa hawana shukrani hasa Waingereza, Roosevelt alikuwà na busara sana - lakini Chulchil alikuwa ni mtu mchochezi sana na chuki binafsi kwa Urusi - akili zake zilifikiria masuala ya kuongeza himaya ya Empire basis, alikuwà hatumii busara hata kidogo he was a good orator na mpenda vita mfano: alimshauri Truman aishambulie Urusi kwa mabom ya Nuclear mapema zaidi baada ya kumalizika vita ya pili ya Dunia - kama Truman angehafiki na ushauri wa Chulchil sijui kungetokea nini?Mkuu huwezi kuunderestimate power ya hizi organizations.
Mfano:
Rais wa Marekani Franklin D. Roosevelt, Waziri mkuu wa UK Winston Churchill na General Stalin wa urusi walikutana kwa siri IRAN kujadili jinsi watakavyomshughulikia Hitler katika WW2. Ni KGB waliogundua mtego wa spy wa wanazi waliokuwa wamefurika mji huo Tehran kuwaangamiza hasa rais wa US na Churchill. Kwa uoga Rais wa Marekani aliforce kwenda kujificha ubalozi wa Urusi ili awe na maximum usalama. Maana Walikamatwa maspy 400 wa hitler na KGB hapo mjini.
Ikumbukwe kama hawa wawili US na hasa Uk hakukua na mtu yoyote sio mfalme wala Waziri mkuu aliyekuwa na gut za kumbishia Hitler hata kutangaza pambano hadi walioenda nyumbani kwa Churchill (political reject) aje na baadae akaachiwa nchi awe PM. Yeye ndie hadi kesho Uk anaheshimika kuliko mtu yoyote. kama Isngekuwa KGB WW2 ingekuwa ni stori nyingine.
To every action there is an equal and opposite reactionJamaa hawa hawana shukrani hasa Waingereza, Roosevelt alikuwà na busara sana - lakini Chulchil alikuwa ni mtu mchochezi sana na chuki binafsi kwa Urusi - akili zake zilifikiria masuala ya kuongeza himaya ya Empire basis, alikuwà hatumii busara hata kidogo he was a good orator na mpenda vita mfano: alimshauri Truman aishambulie Urusi kwa mabom ya Nuclear mapema zaidi baada ya kumalizika vita ya pili ya Dunia - kama Truman angehafiki na ushauri wa Chulchil sijui kungetokea nini?
Kuporomoka kwa USSR ni matokeo ya project ya CIA ya muda mrefu.Kabla ya kuvurugika kwa USSR hawa jamaa walikuwa wako vizuri kuliko CIA.Siku hizi CIA wanawazidi sana KGB hata kumuondoa Blatter baada ya kuwanyima US na England nafasi ya kuandaa world cup na kuwapa Russia na Qatar .FBI walikuwa na agent wao Chuck Blazzer ambaye alifanya kazi FIFA kwa muda mrefu
HUYU JAMAA MTATA SANA. HATA SHULE SIDHANI KAMA ALIPITA MAANA TANGU KIJANA MDOGO YUKO VITANI, AMEWAHI KUVAMIA CIVIL WAR MEXICO AKIWA KAMA MPIGA PICHA VITANI. S/A ALIWAHI KUPIGANA VITANI HUKO NA KUJIKUTA ANATEKWA NA KUTOROKEA MSUMBIJI.Jamaa hawa hawana shukrani hasa Waingereza, Roosevelt alikuwà na busara sana - lakini Chulchil alikuwa ni mtu mchochezi sana na chuki binafsi kwa Urusi - akili zake zilifikiria masuala ya kuongeza himaya ya Empire basis, alikuwà hatumii busara hata kidogo he was a good orator na mpenda vita mfano: alimshauri Truman aishambulie Urusi kwa mabom ya Nuclear mapema zaidi baada ya kumalizika vita ya pili ya Dunia - kama Truman angehafiki na ushauri wa Chulchil sijui kungetokea nini?
HUYU JAMAA MTATA SANA. HATA SHULE SIDHANI KAMA ALIPITA MAANA TANGU KIJANA MDOGO YUKO VITANI, AMEWAHI KUVAMIA CIVIL WAR MEXICO AKIWA KAMA MPIGA PICHA VITANI. S/A ALIWAHI KUPIGANA VITANI HUKO NA KUJIKUTA ANATEKWA NA KUTOROKEA MSUMBIJI.Jamaa hawa hawana shukrani hasa Waingereza, Roosevelt alikuwà na busara sana - lakini Chulchil alikuwa ni mtu mchochezi sana na chuki binafsi kwa Urusi - akili zake zilifikiria masuala ya kuongeza himaya ya Empire basis, alikuwà hatumii busara hata kidogo he was a good orator na mpenda vita mfano: alimshauri Truman aishambulie Urusi kwa mabom ya Nuclear mapema zaidi baada ya kumalizika vita ya pili ya Dunia - kama Truman angehafiki na ushauri wa Chulchil sijui kungetokea nini?
Jamani someni vizuri historian ya USSR - sio kweli kwamba iliporomoshwa na CIA na wala hakuna kitu kana hicho, Urusi yenyewe ndiyo ilihamua kuziachia nchi zilizizo kuwa chini ya himaya yake - walifanya hivyo bila ya kushinikizwa na MTU/Taifa lolote - hizi propaganda za magharibu ni za kubuni tu kwa kujaribu kutafuta sifa ambazo hawana.
Ongeza na person of interest.jinsi ya kuhamisha taarifa pia kuna maandishi na michoro inatumika kubeba taarifa huwa inatakiwa jasusi mahili haswa kun'gamua mchezo mzima,mfano mzuri ukitazama season za @prison break utaona dunia inavyoendeshwa na majasusi watakavyo
ZAMA KIDOGO ZAIDI YA HAPO MKUU.
UJUE HATA GHARAMA ILIYOWACOST UKRAIN WALIPOTAKA KUJITENGA CHINI YA MKONO WA STALIN
HAKUNA NCHI INAYOPENDA KURUHUSU ARDHI YAKE NA UTUKUFU WAKE UPUNGUE. NDIO MAANA HATA US MAJIMBO MENGI YA KUSINI YALIKUWA NI YSEHEMU YA NCHI YA MEXICO LAKINI HADI KESHO HAYUKO TAYARI KUYAACHIA.
Uko sawa, yote unayoyaona sasa ukitrace back history yalipangwa zamani sana.MKUU UMENIKUBUSHA MENGI, NIMECHEKA SANA. NIKIONA UZABAZABINA WA KINA JOHN KERRY NA MA NEOCON WENZAKE WANAPANIA KUVURUGA MATAIFA YA WENZAO KWA MASLAHI BINAFSI, BINAFSI HUA SIYAPENDI HATA KUWASUKIA NI MIJITU HATARI SANA ,CHA AJABU HAYAJIFUNZI KITU MIAJA NENDA RUDI YAPO YÀPO TU KWENYE VIRTUAL WORLD NOT A REAL ONE, AS FAR AS THEY ARE CONCERN 2 'EM THE WORLD IS AMERICA, LAZIMA DUNIA ISIKILIZE MATAKWA YAO - WANA IMANI POTOFU KABISA.
WE JARIBU KUFATILIA ADVENTURES ZAO ZA KIJINGA DUNIANI KOOTENAY, UTAKUTA HAWAJAWAHI KU ACHIEVE CHOCHOTE CHENYE SUBSTANCE ZAIDI YA KUUA WATU BILA SABABU BAADA YA KUFANYA UHARIBIFU MKUBWÀ KWA MATAIFA WANAYO VAMIA JWA VISINGIZIO MBALI MBALI , BAADAE WANAONDOKA NA KUYAHACHA MATAIFA HUSIKA YAMESAMBALATIKA NA RAIA WANABABAKI WAKIPIGANA WENYEWE KWA WENYEWE WITH NO END IN SIGHT TURMOILWISE!!
TUJARIBU KU REVISIT MATAIFA MACHACHE AMBAYO YAME FALL VICTIM WA MATENDO YA KIJAHILI YA TAIFA LA MAREKANI UKWELI UNABAKI KWANBA UNCLE SAM HAD NEVER TU LEO IRAQ IMEGAWANYIKA, LIBYA SIO NCHI MOJA TENA SASA WAPO MBIONI KUTEKELEZA MPANGO WAO WA SIRI WA SIKU NYINGI KUIGAWA SYRIA, WANATAKA SEHEMU YA IRAQ INAYOKALIWA NA WAKURD YENYE UTAJILI WA MAFUTA IUNGANE NA SEHEMU YA SYRIA INAYOKALIWA NA WAKURD VILE VILE INA MAFUTA ILI IWE NCHI MOJA WAWEZE KUNYONYA UTAJILI WA NATURAL RESOURCES ZAO - BAADHI YA VIONGOZI WA MAREKANI WANA MAWAZO YA KUSHANGAZA SANA!!! HAYA TUJE UKRAINE LENGO LAO KUBWA ILIKUWA NI KUJIMILIKISHA NAVAL BASE KUBWA YA SAVASPOL KWA MANUFAA YA JESHI LA MAREKANI KAKINI WARUSI WAKAWAWAHI NA KUZIMA NJAMA ZAO, WAMERIKANI WALIKASIRIKA SANA KUZIDIWA KETE NA URUSI - HILO HAWALISEMI MOJA KWA MOJA WANAISHIA KUMSENA VIVAYA PUTIN NA KUTUSHIA TISHA VIJINCHI VIDOGO VYA ULAYA YA MASHARIKI ETI URUSI INA MPANGO WA KUZIVAMIA - UZUSHI MTUPU!!! WAMAREKANI WANATAFUTA MBINU ZA KUTAKA KUENDELEA KUBAKI ULAYA WAUZE SIRAHA ZAO LAKINI KITU AMBACHO WATU WACHACHE WANAJUA NI KWAMBA MAREKANI HAITAKI ULAYA,URUSI NA CHINA
ZIUNGANE KIUCHUMI WANAJUA HILO LIKITOJEA NATEJANI ITAKUWA HAINA UNUHIMU WOWOTE KIUCHUMI NA BARA LA ULAYA IN OTHERWORDS ITASAHULIKA JAMBO HILI LINAWAOGOGESHA WAMAREJANI KWELI KWELI KULIKO VITA YA TATU YÀ DUNIA - 'AM NOT KIDDING.
VILE VILE KUTUMIA ARIDHI KUBWA YA UKRAINE KWA AJILI YA KILIMO CHA NAFAKA ZA GMO KWA KUTUMIA KAMPUNI YA MONSSANTO
CIA sio lazima uwe raia wa USAinabidi uwe raia wao.
souce:www.cia.gov/careers/faq,https://www.fbi.gov/about-us/faqs
CIA sio lazima uwe raia wa USA