Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Mbona amesema kwamba hata hayo mashirika mengine nayo yamewahi kufanya mambo mengi tu...ila yeye kaongelea KGB au ni nini kinachofanya usielewe??? Maana hakuna mahali ambapo amesema CIA au hayo mashirika mrngine hayajafanya hayo unayoyasema na mengineyo!!!Mkuu MSEZA MKULU ,
Shirika la KGB lilivunjwa na kuwa SVR na FSB mara baada ya kuanguka kwa jumuiya ya nchi za kisovieti mwaka 1991 na siyo mwaka 1995.
Haya nianze kukosoa kwenye vinasa sauti hapo.
Hivi unajua mnamo mwaka 1970 C.I.A walichimba shimo refu chini ya Ubalozi wa Soviet Marekani kwa dhumuni la kufanya udukuzi?
Hilo la ugaidi.
Mbona C.I.A na MOSSAD nao ni magwiji wa kutengeneza magaidi?
Unayakumbuka haya makundi;
- Khmer Rouge la Cambodia?
- Contras or FDN wa Nicaragua?
- The Mujaheddin au Al-Qaeda la Afghanistani?
- Hawa ISIS je?