Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

UFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi

2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.

3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.

4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.

5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia

6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.
 
DFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
nadhani hiyo A ni series inayofuata baada ya namba kujaa. huyo anayesema A inasimama badala ya Africa sina hakika itakuwa elimu mpya. asante
 

116- US embassy
117-Rusia
 
Naombeni mwenye kufahanu namba za ubalozi... wengine wakiona tu namba wanajua ni ya ubalozi gani..
 
Ahsante sana kwa huu uzi.

Naomba kuuliza,

1. Idadi ya herufi ambazo zinatakiwa kuwepo kwenye zile number binafsi.

2. Nawezaje kujua kwamba hili ni gari jipya la serikali kwenye wizara fulani.?


Ahsante.


MAGARI7
 
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
T254CD.......Uingereza

Wengine wanaweza endelea hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…