Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachoweza kusema kwenye DC sina uhakika sana au labda nitakuwa nimejichanganya lakini kwa RPC nimeshaiona labda waiondoe walivyonzisha PT maana huko nyuma PT haikuwepoHapo kwa DC na RPC imeanza lini!?
uko juu MBERE. hebu ipige picha tujifunzeKuna Ipo hapa ina plate jina
"MBERE " vipi hii? Ni ya ikulu nayo?
nadhani hiyo A ni series inayofuata baada ya namba kujaa. huyo anayesema A inasimama badala ya Africa sina hakika itakuwa elimu mpya. asanteDFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
UFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi
2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.
3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.
4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.
5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia
6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.
Asante kiongozi116- US embassy
117-Rusia
Nadhani ile itakuwa Escortkuna zile gari za usalama za ikulu huwa zimeandikwa "E" sijui inamaanisha nini na pia kuna gari za ikulu zimeandikwa "J" , kwa anae faham atujuze
Ahsante sana kwa huu uzi.ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....Karibuni
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfaniUFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi
2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.
3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.
4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.
5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia
6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.
Ni kweli A ni series baada ya namba kujaa baadae A zikijaa itakuja B means DFPB hivyohivyonadhani hiyo A ni series inayofuata baada ya namba kujaa. huyo anayesema A inasimama badala ya Africa sina hakika itakuwa elimu mpya. asante