Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Ni kweli A ni series baada ya namba kujaa baadae A zikijaa itakuja B means DFPB hivyohivyo
vp kuhusu ST 000 A

hizo 0 ni number nayo yaKo chini ya kitengo gani, huonekana ikulu
 
Kumbe hiyo A ni Africa?? Nilidhani ni muendelezo tu then wakaendelea B, C etc etc...
sio Africa. ni muendelezo wa herufi namba zikishajaa kwa kutimiza idadi iliyopangwa
 
mkuu ahsante umenisaidia sana mi ni mufuatiliaji wa plate number gar za serikal zimenichanganya tangu 2010.ila sijajua hizi STJ, STK nitoe matongotongo
 
mkuu ahsante umenisaidia sana mi ni mufuatiliaji wa plate number gar za serikal zimenichanganya tangu 2010.ila sijajua hizi STJ, STK nitoe matongotongo
ST-Serikali ya Tanzania. hizo J na K ni series zinazowekwa baada ya namba kujaa.
 
Hizo zenye plate number nyeupe siyo tu ya biashara (maana hata fuso yaweza kuwa ya biashara) bali ni biashara na abiria mfano tax, bus n.k.
 
Namba za Mawaziri zinachanganya sana. Tafadhali mtoa hoja ingekuwa vema ukatuwekea vile vifupisho vya Namaba za Magari ya Mawaziri na Manaibu wao. Vile vifupisho vyake ni taabu sana kuving'amua kwa harakaharaka.
Dah!kuna moja nlikutana nayo nlichoka sijui ipo NW MSANWMNN yani hata sikuipata vzr coz ilinivuruga!!
 
Usalama wanatumia namba za kiraia na wakati mwingine DFP !! Kwa ujumla wao hutumia namba karibu zote kulingana na mazingira.
Usalama wa taifa hawawezi kutumia JW watatumia hizo nyingine tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…