Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. MT-Magereza Tanzania
20. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
21. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
Mkuu vipi kuhusu zile namba nyingi nyingi za kwenye defender za polisi?????Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. MT-Magereza Tanzania
20. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
21. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
Kubum kubaaaa hiyo ni ya weusi mkuuu
zikoje?Mkuu vipi kuhusu zile namba nyingi nyingi za kwenye defender za polisi?????
Huu sasa wivuukiona "PLATNUMZ" ujue bishoo fulani hivi mwenye uswahili-swahili mwingi licha ya kuwa na jina, mke mzuri, mijengo ya maana na mkwanja wa kumtosheleza yeye na jamaa zake
NO. 11 ni (NW) = Naibu WaziriNo. 11: DFP = Donor Funded Project