Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:

1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu

2. S-Spika wa bunge

3. JM- Jaji mkuu

4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa

5. J- Jaji wa mahakama kuu

6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)

7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

8. CS- Katibu mkuu kiongozi

9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

10. NW-Naibu waziri

11. DFP-Donor's Fund project

12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

14. PT-Police of Tanzania

15. SM-Serikali za mitaa

16. CD- Magari ya ubalozini

17. SU-Shirika la umma.

18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW

19. MT-Magereza Tanzania

20. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)

21. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....

Karibuni

Mkuu vipi kuhusu zile namba nyingi nyingi za kwenye defender za polisi?????
 
Ukiona mtaani gari zimeandikwa katika PLATE
NAMBA kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. NGAO-Rais, makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu.
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. JK - Jaji Kiongozi
6. J- Jaji wa mahakama kuu
7.****-Jenerali kwa mfumo wa nchi yetu anakuwa
Mkuu wa majeshi(CDF). yenye nyota tatu (***)
Luteni Jenerali, yenye nyota mbili (**) Meja Jenerali,
na yenye nyota mohja (*), Brigedia Jenerali.
8. CAG -Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za
serikali
9. CS - Katibu mkuu kiongozi
10. W- mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha
wizara yake hufuata
11. NW -Naibu waziri
12. DFP -Donor's Fund project
13. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine
hufuata
14. SMZ -Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
15. PT -Polisi Tanzania
16. SM -Serikali za mitaa
17. CD - Magari ya ubalozini
18. SU -Shirika la Umma.
19. JW -Jeshi la Wananchi
20. MT -Magereza Tanzania
21. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa
Magereza).
22. RC-Regional Commissioner (Mkuu wa Mkoa)
kisha baada ya RC hufuata jina la mkoa
wake..Mfano RC TBR (Mkuu wa mkoa wa Tabora).
NB. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya
moja kwa kazi maalumu, usniulize ni kazi gani.
Jiongeze
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile
za matumizi binafsi plate number ya njano.
 
Na zile zilizo and kwa majina ya watu mfano DIAMOND fafanua nazo
 
Kumbe hizo za kazi maalumu ni rahisi kuzitambua maana zina namba zaidi ya moja, kwa nini hao wa kazi maalumu wasitumie namba za kawaida ili wasitambulike
 
Back
Top Bottom