Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Pia kuna RC ya mkuu wa mkoa,RPC ya kamanda wa polisi mkoa,kuna JK=Jaji kiongozi n.k
RPC hana namba badala yake anatumia PT, pia mkuu wa wilaya hana anatumia ST, hivyo vyeo inaonekana vipo kisiasa,havitambuliki kikatiba, ndoo maana hata makonda anawafokea ma RPC
 
PLATNUMZ nayo ni ya diamond[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Namba za ubalozi kweli zina CD naT kwa hapa kwetu Ukiona T inamaani hizo ni gari za kibalozi lkn zimesajiliwa Tanzania. na "T" inawakilisha namba ya ubalozi usika mfano ukiona
T4 CD...Angola
T3CD...Algeria
T7cd....Belgium
T17cd...Canada
T25cd...Congo DRC
T37cd...Germany
T38cd...Finland
T39cd...ufaransa
T50cd...India
T54cd....Ireland
T60cd....Kenya
T61cd...S.Korea
T62cd...N.Korea
T22 CD..China
T67cd..Libya
T79cd...Uholanzi
T86cd....Malawi
T93cd...Rwanda
T115cd...British
T11cd...U S kwa Trump
T117cd....Urussi
T119cd....Uganda
T124cd...Zambia
T125cd....Zimbabwe
T254cd... South Africa n.k pia mfano ukiona labda ukiona T124 cd146 hii ni ubalozi wa Zambia lakini ni ya maafisa ubalozi. ila ukiona T124 CD 'M' ujue hii pia ni ubalozi wa Zambia lakini hii 'M' ni ya balozi mwenyewe ( mheshimiwa) kwa hiyo CD mbele namba za kawaida jua ni maafisa wa kawaida. lkn CD mbele M jua ni ya mwenyewe mshua. unaweza nawe ukachangia jambo kulingana na ujuavyo wewe pia, ndio tunafahamisha mambo hivyo.
 
T 122 Cd ni ubalozi wa umoja wa nchi za ulaya.. EU Embassy
 
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
T254CD.......Uingereza

Wengine wanaweza endelea hapo..
Uingereza ni cd 115
German ni cd 37
Kenya ni cd 60
Japan ni cd 59
India ni cd 50
Ufaransa ni cd 38
Denmark ni cd 32
Uholanzi ni cd 79
Muungano wa ulaya ni cd 211
Belgium ni cd 7
Ireland ni cd 54
Uganda ni cd 119
Angola ni cd 4
Norway ni cd 84
Canada ni cd 17
Spain ni cd 103
Finland ni cd 38
Sweden ni cd 108
Switzerland ni cd 106
Kesho ntakuja na karatasi lake ziko nyingi siwezi kukumbuka zote
 
Nimewahi kuona gari limeandikwa CCG bila namba ila Plate Namba Nyekundu!. Linamaanishani?
 
Nachoweza kusema kwenye DC sina uhakika sana au labda nitakuwa nimejichanganya lakini kwa RPC nimeshaiona labda waiondoe walivyonzisha PT maana huko nyuma PT haikuwepo
RPC na DC zijaziona labda kama ndiyo wamenza. Ila RC zipo
 
Back
Top Bottom