Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ni nyingi sanaa nyingine mpaka sehem za bata nakutana nazoSi wanaanza kuamia Dodoma
Poa muhunielimu kubwa nmepata
Check na hii NW HUSMCheki mfano hii unaweza otea ni nani? W SBKVAW
Ikitoka stl itakuja stm of course ni mpaka 2020Huo ni muendelezo tu wa ST, yaani STJ, STK, STL. Zote ni Serikali ya Tanzania.
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
254CD.......Uingereza
Wengine wanaweza endelea hapo..
Na E7 je? E 9?Hapo wana magari mengine meusi ya Escort
- E1 = Escort 1 ni Rais
- E2 = Escort 2 ni Makamu
- E3 = Escort 3 ni Rais wa Zanzibar km hayupo ni Waziri Mkuu
RAC ni namba zinazotumiwa na Shirika la Reli Tanzania. Nadhani walianza na RAA ikaja RAB na sasa RACKuna gari huwa na namba hizi RAC 118, RAC 123 hizo no za wapi wakuu?
We utakuwa TISSGari za DFP baada ya digit kujaa wakaaza kuweka A.
Gari za Ikulu ni ST namba Halafu A Baada ya digit kujaa, zamani ni ilikuwa ST na namba tu.
Ubalozi umepangwa kwa Alphabet mfano.
T3 Namba CD namba ni Algeria
T 4 Namba CD namba Angola
T 114 Namba CD namba UER Egypt
T 115 Namba CD namba UK
T 116 Namba CD namba USA
T 117 Namba CD namba USSR Russia
Nk, ata kama hakuna ubalozi T na namba inabaki wazi, inawezeka T moja mpaka sasa haitumiki ingawa balozi wa kwanza hapa ni mwingireza baada ya kukabidhi nchi
T NAMBA CC Badala CD ni balozi wa heshima,
T ni mpangilio wa alphabet CD Ni idadi ya magari balozi walizonazo ndio maana ukiangalia USA kwenye CD ana digit nyingi,
Balozi mwenyewe anatumia T Namba CDM 1,
CD Maana yake Car Diplomat
Angalia mtiririko mwingine
J, T 59 Japan
K T 60 kenya
K T 61 KOREA
117 ni russia116 US EMBASSY
117 UK EMBASSY
NS NATIONAL SERVICE hii itakua ya mkuu wa jktKuna gari niliona zimeandikwa NS.
Maana yake ndio nn?