Namba za ubalozi kweli zina CD naT kwa hapa kwetu Ukiona T inamaani hizo ni gari za kibalozi lkn zimesajiliwa Tanzania. na "T" inawakilisha namba ya ubalozi usika mfano ukiona
T4 CD...Angola
T3CD...Algeria
T7cd....Belgium
T17cd...Canada
T25cd...Congo DRC
T37cd...Germany
T38cd...Finland
T39cd...ufaransa
T50cd...India
T54cd....Ireland
T60cd....Kenya
T61cd...S.Korea
T62cd...N.Korea
T22 CD..China
T67cd..Libya
T79cd...Uholanzi
T86cd....Malawi
T93cd...Rwanda
T115cd...British
T11cd...U S kwa Trump
T117cd....Urussi
T119cd....Uganda
T124cd...Zambia
T125cd....Zimbabwe
T254cd... South Africa n.k pia mfano ukiona labda ukiona T124 cd146 hii ni ubalozi wa Zambia lakini ni ya maafisa ubalozi. ila ukiona T124 CD 'M' ujue hii pia ni ubalozi wa Zambia lakini hii 'M' ni ya balozi mwenyewe ( mheshimiwa) kwa hiyo CD mbele namba za kawaida jua ni maafisa wa kawaida. lkn CD mbele M jua ni ya mwenyewe mshua. unaweza nawe ukachangia jambo kulingana na ujuavyo wewe pia, ndio tunafahamisha mambo hivyo.