Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Hivi Na nchi nyingine wanachanganya lugha Kama Tanzania, utaona J= jaji S= spika mara utaona CAG= mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali, hata sielewi.
 
Kipindi cha miaka ya nyuma kidogo hasa wakati wa miradi ya TASAF imeanza kufanya kazi kuna brother mmoja nilimuuliza kirefu cha DFP a kaniambia eti ni Dondosha Fedha Peupe (kumbuka kipindi hicho jamaa wa kwenye miradi kama Tasaf walikuwa na pesa na magari mazuri, basi nikaamini.

Ila baadae miaka ilivyosonga nikaja kung'amua kuwa jamaa alinipiga fix mchana kweupe , namlaani sana.
 
Asante mkuu mana mm mpk leo nilikua nakua SU ni soma ule
 
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
254CD.......Uingereza

Wengine wanaweza endelea hapo..

T115CD Uingereza
 
Hapo wana magari mengine meusi ya Escort
  1. E1 = Escort 1 ni Rais
  2. E2 = Escort 2 ni Makamu
  3. E3 = Escort 3 ni Rais wa Zanzibar km hayupo ni Waziri Mkuu
Na E7 je? E 9?
 
We utakuwa TISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…