steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
ww kma hujui.kaa kimyaDFP = Diisopropyl Fluoro Phosphate
DFP = Dysfunctional Family Picnic
DFP = Davidon Fletcher Powell
DFP = Dwarf Fortress Players
etc etc
Asante nimekuelewa vizuri sana mkuuSTK, ST
STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...
ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agencyUna uhakika? Siyo Donor Funded Project?
Dah xinaniumizaga sana kichwa izo
DFP ni Donor Funded Project/ProgrammeSU shirika la umma
JW jeshi la wananchi
SM serikali za mitaa
DFP development fund program
Nyingine wataongezea
DFP baada ya kufika 9999 namba hio imeongezwa A na kuwa DFPA ikaanza tena. Ikifika 9999 itakuwa DFPB na kuendeleani donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
Yeap.....mfano T115 CDM 1Corps Deplomatique (Diplomatic Corps)
Ze Kingunge is right.Kuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Kiliwater....hahahahaaaa bado ipo hii kampuni mkuu?Dfp kiliwater
STK, ST
STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
"xinaniumizaga" ndio nini hiki umeandika? Unadhani huku ni Facebook?Dah xinaniumizaga sana kichwa izo
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...
DFP=Donor Funded ProjectSU shirika la umma
JW jeshi la wananchi
SM serikali za mitaa
DFP development fund program
Nyingine wataongezea
Kama hujaelewa piga chini.. Sio lazima uelewe wakat haikuhusu, wenye uelewe wameelewa.... Upoooo ndugu [emoji108]"xinaniumizaga" ndio nini hiki umeandika? Unadhani huku ni Facebook?
Pamoja na E1Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.
DFP - Donor Funded ProjectsSU shirika la umma
JW jeshi la wananchi
SM serikali za mitaa
DFP development fund program
Nyingine wataongezea