Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
Asante nimekuelewa vizuri sana mkuu
 
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...

Si kweli hivyo ulivyoiita CD. Kasome post namba 18, ndiyo sahihi.
 
ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
DFP baada ya kufika 9999 namba hio imeongezwa A na kuwa DFPA ikaanza tena. Ikifika 9999 itakuwa DFPB na kuendelea
 
Corps Deplomatique (Diplomatic Corps)
Yeap.....mfano T115 CDM 1
T..Tanzania
CDM 1 ni namba ya gari ya Balozi. Nchi zote tz ukiona CDM 1 ni gari ya balozi, zile cd ni gari nyinginezo.
T115-UK
T116-USA
T117-Russia
T83-Nigeria
T4-Angola etc zipo alphabetically.
 
Me nilijuaga ety
STK.... SHERIA, TARATIBU NA KANUNI
STJ.... SHERIA, TARATIBU NA JAMII
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Vilevile DFP sio lazima itolewe na World Bank au USAID, nafikiri ni gari yeyote iliyotolewa na wahisani/wafadhili kwa ajili ya mradi flani.

Hao wafadhili sio lazima wawe USAID au World Bank
 
STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo

Kwa mazoea magari yanayovishwa bendera ya taifa yanakuwa na utambulisho maalumu kwenye vibao vya namba mf. WNOR, RC nk lakini unakuta ST... ina bendera ya taifa je huwa inakuwa inatumiwa na kiongozi gani
 
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...

Thanks Mkuu tuna safari ndefu
 
"xinaniumizaga" ndio nini hiki umeandika? Unadhani huku ni Facebook?
Kama hujaelewa piga chini.. Sio lazima uelewe wakat haikuhusu, wenye uelewe wameelewa.... Upoooo ndugu [emoji108]
 
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.
Pamoja na E1
 
Back
Top Bottom