Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

nashkur kwa kuona ni takataka wakati.ndvyo ilivyo sema huwa mnatumia njia ya kubisha ili uelekezwe kusema naomba kujua hutaki
 
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.

PT-Police Tanzania
MT-Magereza Tanzania
 
PC-Police Tanzania
 
STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
...STI hakuna kwenye I huwa wanairika sabb inafanana na namba 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…