Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

DFP.donor foundation problgram[color]

haya hutorewa kwa msaada wa ben
k ya dunia chini ya adjustment program

DC..district camishner

kma
ni kwa wakuu wa mik
oa

RC.Region camishner

kwa wakuu waik
o
a

SU.shilika na uma

mfano.ttcl,tan
es

c

Hizo ni baadhi tu ya takataka ulizoandika!! Umesoma wapi?

o

SM.ni kwaajil ya halmashaur.ya mji

MT.magereza tanzania

KJ.kikosi cha jesh
 
nashkur kwa kuona ni takataka wakati.ndvyo ilivyo sema huwa mnatumia njia ya kubisha ili uelekezwe kusema naomba kujua hutaki
 
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.

PT-Police Tanzania
MT-Magereza Tanzania
 
PC-Police Tanzania
 
STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
...STI hakuna kwenye I huwa wanairika sabb inafanana na namba 1
 
Back
Top Bottom