Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

SU
SM
YAMEADIMIKA MTAANI BAJETI IMEFIKA KIKOMO?
 
Polisi (hasa polisi wa doria) wanatumia pia plate namba zenye maandishi yaliyopangiliwa shaghalabagala. Mfano GHLK2YFX

Inamaanisha nn hyo mkuu
 
No:17
Kibao chenye rangi ya bluu na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na moja ya shirika la umoja wa mataifa. Mfano shirika la Afya Duniani (WHO).
6. Kibao chenye rangi ya kijani na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na ofisi za ubalozi wa nchi fulani. Mfano ubalozi wa Ufaransa.
 
Hapo Number 22 Kwenye Thread Yapo Mengi Sana Yaani Unakutana Moja Lakini Linatumia Zaidi Ya Tatu Ama Nne
 
Polisi (hasa polisi wa doria) wanatumia pia plate namba zenye maandishi yaliyopangiliwa shaghalabagala. Mfano GHLK2YFX

Inamaanisha nn hyo mkuu
utakuwa port port maana hyo gar iyotaja hyo plate no mara nying nawaona ant robale ndo wana2mia
 
pia ukienda Aeusha kuna gari zenye vibati vya kijani ambazo ni za umoja wa nchi za afrika mashariki
 
Haya malori yanatumia namba za njano na yanafanya kaz za biashara na umesema ni private use how.?
 
Na IT Bandarini ni ni ni au ndio International?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…