Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
O inafanana na o yaani aeio na 1234567890 hivyo ili kuondoa confusion bora kuacha.pia I na 1 pia majina ambayo si lugha nzuri kutamka ikifika wataruka kama T123 U*Ekwanini herufi O haipo kwenye plate namba za magari?
Mkuu wa wilayaUnakuta nyingine ni STK, au STJ halafu ina bendera ya Taifa anakuwa nani huyo
Hizo si Prado mkuu?Siku hizi hamna TX ?
Kuna UT nayo kwa sasaMT=magereza Tanzania
PT=Police Tanzania
utakuwa port port maana hyo gar iyotaja hyo plate no mara nying nawaona ant robale ndo wana2miaPolisi (hasa polisi wa doria) wanatumia pia plate namba zenye maandishi yaliyopangiliwa shaghalabagala. Mfano GHLK2YFX
Inamaanisha nn hyo mkuu
Uhamiaji TanzaniaKuna UT nayo kwa sasa
AsanteUhamiaji Tanzania
Na IT Bandarini ni ni ni au ndio International?CGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Swali zuri sana.Haya malori yanatumia namba za njano na yanafanya kaz za biashara na umesema ni private use how.?
Na IT Bandarini ni ni ni au ndio International?
Akihitaji maelezo zaidi mwambie aje pm ama nifanye nae Safar mojaIn Transit (IT) hii hua inatokea kwa magari kwenda nchi jirani inapewa namba maalum kwa ajili ya kusafiria kwenye njia za Tanzania.