Sawa shukran mkuu nitautafuta nipate elimu zaidiHiyo SU = Shirika la Uma
Ila kuna uzi unaelezea hivo virefu vya hizo plate namba
Utafute
SU- Sukuma Upande kisha zinafuata nambaSawa shukran mkuu nitautafuta nipate elimu zaidi
HahaahhahSU- Sukuma Upande kisha zinafuata namba
UT..humanisha nini? Na hutumia akina nani?Hizo ST ni namba zinazowakilisha Serikali Tanzania kwa hiyo J K, just ni series, zilianza na ST, zikaja STA, STB....,STH ilvyoisha ilipaswa kuja STI lakini mara nyingi I na O huwa Zinarukwa kwa sababu ya kufanana na moja na sufuri, kama huo utaratibu hautabadilika basi hizo namba zitaenda mpaka STZ
TP Ni Tanzania Police
Uhamiaji TanzaniaUT..humanisha nini? Na hutumia akina nani?
SU means Soma Ule.Hiyo SU = Shirika la Uma
Ila kuna uzi unaelezea hivo virefu vya hizo plate namba
Utafute
SMT = Magereza Tanzania
PT = police Tanzania
SU = Shirika la Umma
SM = serikali za Mitaa
UT= uhamiaji Tanzania
RC = Regional commisioner
DFP= Doner Fund project
JW = Jeshi la wananchi
CD = magari ya ubalozi
J= magari ya majaji
SMZ = serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
W= mawaziri
NW = Naibu waziri
CS = katibu mkuu kiongozi
CAG= mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
Na mengine mengi tuu.
Mmmmh.STK serikari kuu ya tanzania
Logo ya IkuluGari ya waziri mkuu, makamu wa rais na rais zinakuwaje?
Sawa asante kunikosoaNumber 10 Ni ZT Zimamoto Tanzania Na Siyo FT Kwenye Usajiri