Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

17. W ni za mawaziri (mfano; W VBU- Waziri wa Viwanda, Biashara na Uchumi).
18. NW ni za naibu mawaziri (mfano; NW EST- Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Technologia).
 
Naomba uniambie lenye plate namba kuna namba sifuri tuu pale katikati ya plate na hiyo sifuri niya rangi nyekundu ila kwingine ni njano kama kawaida
 
CD-corps diplomatique,hizi huwekwa kwenye magari ya ubalozi,
DFP-Donors Funded Projects-hii ni miradi ya mashirika yasiyo ya kiserikali..
 
... as of today ...
KUB - Freeman Aikaeli Mbowe
MO - Mohamed Dewji
S - Job Ndugai
NS - Tulia Akson
JM - Prof. Juma
 

Hayo Magari ya # 12 hapo huwa yanapita njia gani Mkuu kwani binafsi japo niko ' down town ' kwa ' miongo ' mitatu sasa ya Uhai wangu lakini sijawahi kubahatisha kuyaona japo nina hamu sana niyaone.
 
Kuna mtu alinambia kuna za DFPA zinatumika na system..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…