Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna hilo gari nalog offMM- Mbao za Mawe.
Mbuge viti Maalumu =MM.Kama kuna hilo gari nalog off
Ndo akina nani haoWatu wasiojulikana jee
Wapishi wanguNdo akina nani hao
Wapishi wangu
Hizi hutumika na Shirika la Reli.Gari zenye plat ya kijani RAC ninani
Sawasawa asante naziona sana hapa ngerengere kwenye mradi sgrHizi hutumika na Shirika la Reli.
Railway corporationGari zenye plat ya kijani RAC ninani
1.T 000 xxx namba za magari ya watu binafsi na makampuni binafsi(ikiwa plate namba ni nyeupe basi ni gari ya biashara)
2.ST (kuanzia A mpaka sasa L yaani mfano STH,STK na STL) magari ya serikali kuuu
3.SU ni gari za mashirika ya umma
4.SM ni gari za serikali za mtaa( halmashauri)
5.DFP now DFPA gari ambayo yametolewa misaada yapo kwenye miradi fulani(donors fund projects)
6.T 000 CD 000 gari zinazomilikiwa na mashirika ya umoja wa mataifa pia kijan hutembelewa na wafanyakaz wa balozi mbali mbali
7.PT 000 police Tanzania
8.JW ni jwtz
9.UT uhamiaji Tanzania
10.FT fire Tanzania
11.MT magereza Tanzania
12.E,1or E2 kuendelea ni usalama wa taifa
13.kuna wenye majina yao binafsi
14.j ni namba za majaji
15.CAG mkakuzi mkuu wa serikali
16 kuna namba pia maalum kwenye gari ya rais makamu waziri mkuu spika na mawaziri
Kuna mtu alinambia kuna za DFPA zinatumika na system..1.T 000 xxx namba za magari ya watu binafsi na makampuni binafsi(ikiwa plate namba ni nyeupe basi ni gari ya biashara)