Mitaa ya makumbusho barack obama na sarrender mkuuHayo Magari ya # 12 hapo huwa yanapita njia gani Mkuu kwani binafsi japo niko ' down town ' kwa ' miongo ' mitatu sasa ya Uhai wangu lakini sijawahi kubahatisha kuyaona japo nina hamu sana niyaone.
Donor Funded ProjectDFP development Fund Project
1.T 000 xxx namba za magari ya watu binafsi na makampuni binafsi(ikiwa plate namba ni nyeupe basi ni gari ya biashara)
2.ST (kuanzia A mpaka sasa L yaani mfano STH,STK na STL) magari ya serikali kuuu
3.SU ni gari za mashirika ya umma
4.SM ni gari za serikali za mtaa( halmashauri)
5.DFP now DFPA gari ambayo yametolewa misaada yapo kwenye miradi fulani(donors fund projects)
6.T 000 CD 000 gari zinazomilikiwa na mashirika ya umoja wa mataifa pia kijan hutembelewa na wafanyakaz wa balozi mbali mbali
7.PT 000 police Tanzania
8.JW ni jwtz
9.UT uhamiaji Tanzania
10.FT fire Tanzania
11.MT magereza Tanzania
12.E,1or E2 kuendelea ni usalama wa taifa
13.kuna wenye majina yao binafsi
14.j ni namba za majaji
15.CAG mkakuzi mkuu wa serikali
16 kuna namba pia maalum kwenye gari ya rais makamu waziri mkuu spika na mawaziri
DFP = Donor Funded Project.DFP development Fund Project
4. Jaji Mkuu wa Tanzania
Gari la Jaji Mkuu wa Tanzania huwa na herufi JM kwenye kibao chake
8. Magari ya Shirika la Umoja wa Mataifa
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na moja ya shirika la umoja wa mataifa. Mfano shirika la Afya Duniani (WHO). Kibao chenye namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na herufi CD kisha namba tena.
9. Magari ya balozini Mbalimbali nchi Tanzania
Magari ya Ubalozi nchini Tanzania huanziwa na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD kisha namba. Pia namba hizi hutumiwa na wafanyakazi wa ubalozi husika hata kama ni watanzania. Mfano wa Ubalozi ni Marekani
14. Magereza Tanzania
Magari ya Magereza ya Tanzania huwa na kibao chenye kuanziwa na herufi MT kisha hufuatiwa na namba kadhaa mbele yake kwenye kibao cha magari hayo
Escort 1 for president and so on10: FT (fire Tanzania) sio sahihi. Inabidi iwe
ZT (zimamoto Tanzania)
12:E 1, E 2, inamaanisha hizo ni gari Za escort. Escort 1 (E 1) escort 2, (E 2)
labda wezi wameliibaInakuwaje pale unakuta gari jipya kabisa lakini namba za zamani, kwa mfano kuna V8 moja mpya kabisa ina namba T804AVB
Escort 1 for president and so on
hao labda ni yanamilikiwa na liquid barKuna
ST 234 A hawa nao ni nani
Endelea mbona umeishia 1 tuEscort 1 for president and so on
Escort 1 for president and so on
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi