we ni mtanzania au mkimbizi mtanzania huji maana ya SU,STK,PT sasa utajua wats per capita income maswali mengine mnajaza server jamani kwa mtaji huu ccm itaendelea kutawala milele
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeyeumeona yakipumbavu lakini umemjibu kwanini usinge kaa kimya.....namashaka hata wewe hujui chochote hapa
Nahisi hapo dfp kama umeteleza vile!
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeye
Ungeweka na AG kabisa....Attorney GeneralST # A ni magari ya Ikulu
PT ni Police Tanzania na si TP kama ulivyoainisha
DFP ni Donor Funded Project hii ni badala ya TX
SU ni Shirika la Umma
STA,...STG,STH,STK, STJ,...,STZ ni magari ya Idara nyingine za serikali pamoja na wizara
WN (abc) ni waziri wa nchi
W (abc) ni waziri
S ni Spika
NS ni Naibu Spika
JM ni Jaji mkuu
CAG ni Chief Auditor General
FFU je?msaada njia panda!
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeye
kweli mkuu umeongea naona mfumo wetu wa elimu ndio tatizo napata woga miaka 20 ijayo taifa letu litakuwaje kama sisi tulio mjini na simu za internet na magari haya tunapishana nayo tangu tukienda clinic mpaka balehe tuko hivi watoto wa shangazi kule nanjilinji hali ikoje ambapo gari linakwenda mara moja kwa mwaka kupeleka mitihaniNaomba niseme kwamba nimeelewa concern yako mkuu lakini si kosa la mleta Mada Bali la mfumo wetu wa elimu....
Vitu kama hivi ilitakiwa iwe kama unavyojulikana wimbo wa taifa...
Uraia wetu ni wa kusoma tu what is a government....lakini kuna mtu hajui hata ngazi za kitawala ktk mtaa,kijiji,kata,tarafa hadi wilaya......je atajua maana ya SU wakati alipo hata shirika la umma kama tanesco halijafika na darasani hajasoma????
Naomba mtoe mleta mada ktk lawama zako na zielekeze ktk mfumo mbovu wa elimu ambao unafanya hata watu wasiwe sharp hata ktk vitu vidogo.
ffu je?msaada njia panda!
ukishajua itakusaidia nini??
St- serikali ya tanzania
sm - serikali za mitaa
stj -serikali ya tanzania (gari namba stj 2152- kwa mfano).
Hii SM Kama Ndo Maana Yake Mi Naona Wamekosea Kwani Kwenye Halmashauri Za Wilaya Mbona Hakuna Mitaa Badala Yake Kuna Vijiji Ambavyo Ndo Vingi Bado Magari Yake Yanatumia SM na kwanini yasiitwe SV Kwa Halmashauri Za Wilaya Na SM Kwa Halmashauri Za Manispaa/ Jiji.
Hizo ni namba za magari ya Tanzania Railway Corporation. Sijui siku izi inaitwa TRL!! So RAC stands for Railway Corporation.