Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

we ni mtanzania au mkimbizi mtanzania huji maana ya SU,STK,PT sasa utajua wats per capita income maswali mengine mnajaza server jamani kwa mtaji huu ccm itaendelea kutawala milele

umeona yakipumbavu lakini umemjibu kwanini usinge kaa kimya.....namashaka hata wewe hujui chochote hapa
 
umeona yakipumbavu lakini umemjibu kwanini usinge kaa kimya.....namashaka hata wewe hujui chochote hapa
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeye
 
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeye

wewe ndio umekuwa mzigo sasa ambacho sijui hapo nini labda,hili jukwaa huru yeye kakosa mahala pengine pakuuliza hilijambo kaona hapa ndio muafaka sasa we unashangaza kuja na jazba zako zisizo na msingi
 
ST # A ni magari ya Ikulu
PT ni Police Tanzania na si TP kama ulivyoainisha
DFP ni Donor Funded Project hii ni badala ya TX
SU ni Shirika la Umma
STA,...STG,STH,STK, STJ,...,STZ ni magari ya Idara nyingine za serikali pamoja na wizara
WN (abc) ni waziri wa nchi
W (abc) ni waziri
S ni Spika
NS ni Naibu Spika
JM ni Jaji mkuu
CAG ni Chief Auditor General
Ungeweka na AG kabisa....Attorney General
 
hata mtu hajaenda shule anajua labda mtoto au na wewe ulikuwa hujui useme tukuweke kundi moja na yeye

Naomba niseme kwamba nimeelewa concern yako mkuu lakini si kosa la mleta Mada Bali la mfumo wetu wa elimu....

Vitu kama hivi ilitakiwa iwe kama unavyojulikana wimbo wa taifa...
Uraia wetu ni wa kusoma tu what is a government....lakini kuna mtu hajui hata ngazi za kitawala ktk mtaa, kijiji, kata, tarafa hadi wilaya......je atajua maana ya SU wakati alipo hata shirika la umma kama tanesco halijafika na darasani hajasoma?

Naomba mtoe mleta mada ktk lawama zako na zielekeze ktk mfumo mbovu wa elimu ambao unafanya hata watu wasiwe sharp hata ktk vitu vidogo.
 
Naomba niseme kwamba nimeelewa concern yako mkuu lakini si kosa la mleta Mada Bali la mfumo wetu wa elimu....
Vitu kama hivi ilitakiwa iwe kama unavyojulikana wimbo wa taifa...
Uraia wetu ni wa kusoma tu what is a government....lakini kuna mtu hajui hata ngazi za kitawala ktk mtaa,kijiji,kata,tarafa hadi wilaya......je atajua maana ya SU wakati alipo hata shirika la umma kama tanesco halijafika na darasani hajasoma????

Naomba mtoe mleta mada ktk lawama zako na zielekeze ktk mfumo mbovu wa elimu ambao unafanya hata watu wasiwe sharp hata ktk vitu vidogo.
kweli mkuu umeongea naona mfumo wetu wa elimu ndio tatizo napata woga miaka 20 ijayo taifa letu litakuwaje kama sisi tulio mjini na simu za internet na magari haya tunapishana nayo tangu tukienda clinic mpaka balehe tuko hivi watoto wa shangazi kule nanjilinji hali ikoje ambapo gari linakwenda mara moja kwa mwaka kupeleka mitihani
 
We nawe mzembe hadi ya wale wajinga PT huijui? Anyway kuna nyingine imesahaulika MT-Magereza Tanzania
 
ukishajua itakusaidia nini??

watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu wala hawana haja ya kujifunza tena. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo

mwalimu jullius kambarage nyerere
 
St- serikali ya tanzania
sm - serikali za mitaa
stj -serikali ya tanzania (gari namba stj 2152- kwa mfano).
 
magar ya serikali yalianza kusajiliwa kwa namba za STA ambapo nadhani herufi ya tatu inahesabi kuanzia 1-9999. na ST maana serikali Tanzania. kwa hiyo:-

1. STA INA GARI 1-9999
2. STB INA GARI 1-9999
3. STC INA GARI 1-9999
4. STD INA GARI 1-9999
5. STE INA GARI 1-9999
6. STF INA GARI 1-9999
7. STG INA GARI 1-9999 BAADHI ZIPO HADI LEO KWENYE TAASISI KAMA POLISI.
8. STH INA GARI 1-9999 BADO ZIPO
9. STI HAZIPO
10. STJ INA GARI 1-9999 ZIPO NYINGI TU
11. STK INA GARI 1-9999 NDO NYINGI KULIKO MAKUNDI MENGINE
12. STL NDO USAJILI UNAOENDELEA.

b. PT NI POLISI TANZANIA
C. MT NI MAGEREZA TANZANIA
D. DFP NI DONOR FUNDED PROJECT
E. SU NI SHIRIKA LA UMMA
 
St- serikali ya tanzania
sm - serikali za mitaa
stj -serikali ya tanzania (gari namba stj 2152- kwa mfano).

Hii SM Kama Ndo Maana Yake Mi Naona Wamekosea Kwani Kwenye Halmashauri Za Wilaya Mbona Hakuna Mitaa Badala Yake Kuna Vijiji Ambavyo Ndo Vingi Bado Magari Yake Yanatumia SM na kwanini yasiitwe SV Kwa Halmashauri Za Wilaya Na SM Kwa Halmashauri Za Manispaa/ Jiji.
 
halimashauri za wilaya ziko.chini ya tawala za mikoa na serikali za.mitaaa. sasa lini umeona vijijini kunakaa magari ya halimashauri kama sio makao makuu ya wilaya au kwenyw vituo vya afya ambavyo viko chini ya uangalizi wa ded
 
Hizo ni namba za magari ya Tanzania Railway Corporation. Sijui siku izi inaitwa TRL!! So RAC stands for Railway Corporation.

Na ilipokuwa RAB je?
 
Su maana yake, Soma Ule, STK Ni Serikali Tajili Kabisa, SM, Ni Serikali Masikini
 
Back
Top Bottom