Siku nyingine usiite "plate number" inaitwa number plate /kibao cha namba au registration number (kama unataka kuzungumzia namba yenyewe). Kwa uelewa wangu
SU = Shirika la Umma
ST = Serikali ya Tanzania (inaweza kuwa G,J,K,L ili kuepuka kuwa na number/digit zaidi ya 4. Kwa hiyo kama G itajaa wanahamia J, Kama J itajaa wanahamia K.Kwa nini wanahama?kwa nini wanaruka herufi nyingine? tusubiri wataalam watatujuza
SM= Serikali za Mitaa (magari yote ya halmashauri yanatumia number hizi)
MT=Magereza Tanzania
note: majibu kulingana na elimu yangu ya shule ya msingi