Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Kuna gari Nimeiona, plate number imeanza na TSAL

Nimeitolea ufafanuzi hapo juu. Hizi ni gari za bonded warehouse (yard) zinazosubiri usajili rasmi. Hizo namba ni maalum kwa yadi husika. Kila yadi wana namba zao
 
Wakuu,

Taasisi na mashirika ya umma nchini yanatumia namba tofauti za usajili wa magari ili kutofautisha na magari binafsi, ufuatao ni mchanganuo wa vifupisho hivyo:

MT=Magereza Tanzania
PT= Police Tanzania
SU=Shirika la Umma
SM=Serikali za Mitaa
RC =Regional Commission
JW=Jeshi la Wananchi wa Tz
DFP=Donor Fund Project (unnecessary)

Haya wakuu karibuni tuongezee mawazo kwa wanaofahamu zaidi

STK =
STJ =
STL=
STH=
DFPA=


NAWASILISHA WAKUU
 
NW
ORTMSM
- Naibu Waziri Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, hapo vipi!
 
Zamani kulikua na STG ikaja STH, hizo STJ,STK na STL ni mwendele wa heruf kama vle T124aza, T123Bza na kuendelea nahis sasa hiv tupo kwenye T---D--, DFPA nayo nimwendelezo wa DFP kwa hyo sasa hiv wamefika A watafika B na kuendelea kutokana na usajili wa magari yao magari yotr ya mashirika ya uma kuanzia tanesco,bandari,vyuo vya serikal huwa wanatumia SU, manispaa zote huwa wanatumia SM, JW ni kwa jeshi la wananchi na jkt ukikuta gari imeandika 1024JW07 hzo namba za kwanza kabla ya JW ni namba ya usajili wa gari na hzo namba baada ya JW ni namba ya mwaka wa gari iliponunuliwa,
 
(ST)serikali ya Tanzania herufi(l)Kwa sasa no plate0000/DFP,herufi,A no 0000
 
ST= Serikali ya Tanzania baada ya hapo ni herufi inayo tofautisha mwendelezo wa ST hivyo A,B,C,D,E,F,G,H,J,K hazina maana zaidi ya kuendeleza mtiririko wa ST.
 
Mkuu Asante umenifungua akili sana
 
Wakuu,

Taasisi na mashirika ya umma nchini yanatumia namba tofauti za usajili wa magari ili kutofautisha na magari binafsi, ufuatao ni mchanganuo wa vifupisho hivyo:

MT=Magereza Tanzania
PT= Police Tanzania
SU=Shirika la Umma
SM=Serikali za Mitaa
RC =Regional Commission
JW=Jeshi la Wananchi wa Tz
DFP=Donor Fund Project (unnecessary)

Haya wakuu karibuni tuongezee mawazo kwa wanaofahamu zaidi

STK =
STJ =
STL=
STH=
DFPA=


NAWASILISHA WAKUU


ST-State House
 
STK. Sisi Tuna Kula
SU. Soma Unufaike
STL. Sisi Tuna Lishwa.


Just Kidding
 
Sio kwel, gari za ikulu zina namba ya serikali au huwa wanaandika state car
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…