Zamani kulikua na STG ikaja STH, hizo STJ,STK na STL ni mwendele wa heruf kama vle T124aza, T123Bza na kuendelea nahis sasa hiv tupo kwenye T---D--, DFPA nayo nimwendelezo wa DFP kwa hyo sasa hiv wamefika A watafika B na kuendelea kutokana na usajili wa magari yao magari yotr ya mashirika ya uma kuanzia tanesco,bandari,vyuo vya serikal huwa wanatumia SU, manispaa zote huwa wanatumia SM, JW ni kwa jeshi la wananchi na jkt ukikuta gari imeandika 1024JW07 hzo namba za kwanza kabla ya JW ni namba ya usajili wa gari na hzo namba baada ya JW ni namba ya mwaka wa gari iliponunuliwa,