Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Niliona mercedes benz S 550 nyeusi ina namba "STATE CAR 7"
 
Kuna magari Polisi wanatumia siku hizi yana namba binafsi.
 
Kuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
siku izi naona magari ya mawaziri pia yana W tu na bashite nae RC DSM sasa cjui na MaRC wa mikoani pia wanazo coz uyu ni mwana mfalme anatumia hadi range
 
CGI-Commissioner General Immigration

IGP-inspector General Police

CDF- Chief of Defence Forces

CGF- Commissioner General Fire

CGP- Commissioner General Prisons

CS- Chief Secretary

CAG- Comptroller and Auditor General

AG-Arttoney General

S-Speaker

N S-Naibu Speaker

KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni

Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
 
CGI-Commissioner General Immigration

IGP-inspector General Police

CDF- Chief of Defence Forces

CGF- Commissioner General Fire

CGP- Commissioner General Prisons

CS- Chief Secretary

CAG- Comptroller and Auditor General

AG-Arttoney General

S-Speaker

N S-Naibu Speaker

KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni

Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
CK- chizi kimbangu
 
CGI-Commissioner General Immigration

IGP-inspector General Police

CDF- Chief of Defence Forces

CGF- Commissioner General Fire

CGP- Commissioner General Prisons

CS- Chief Secretary

CAG- Comptroller and Auditor General

AG-Arttoney General

S-Speaker

N S-Naibu Speaker

KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni

Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Umeona wapi gari la CDF limeandikwa CDF?
 
Magari yenye RAC .... Railway Asset Corporation/Company (Mambo ya Standard Gauge hayo)
 
Back
Top Bottom