Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shirika la Reli Tanzania.....TRC ambayo sasa ni TRL.Kuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Watu wasiojulikanaKuna nyeusi imeandikwa UT, rangi kama za vibao vya polisi, ni nani hawa?
nonsenseKibao cha rangi nyekundu na herufi RC
Kibao hiki kinabeba maana kuwa Bashite anatoka ofisi za Mawingu fm baada ya kuchukua flash
Kuna nyeusi imeandikwa UT, rangi kama za vibao vya polisi, ni nani hawa?
siku izi naona magari ya mawaziri pia yana W tu na bashite nae RC DSM sasa cjui na MaRC wa mikoani pia wanazo coz uyu ni mwana mfalme anatumia hadi rangeKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
CK- chizi kimbanguCGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Inamilikiwa na shirika la reliKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Umeona wapi gari la CDF limeandikwa CDF?CGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Gari za ikulu hizo, kazi zake ni kubeba wageni mbalimbali wa kitaifa hata kukodisha mfano una mgeni binafsi mwenye diplomatic status unaweza kuzikodi hizo gari serikalini na ukalipia na escort ya pikipiki ya traffic.Niliona mercedes benz S 550 nyeusi ina namba "STATE CAR 7"
Mhhhhh...! MT ni jeshi gani?Gari za magereza na polisi zimetofautiana rangi ya vibao tu, zote zinatumia namba PT.
Hata hivyo wote ni PT.Mhhhhh...! MT ni jeshi gani?
Mambo ya migrationKuna nyeusi imeandikwa UT, rangi kama za vibao vya polisi, ni nani hawa?