Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
magerezaMhhhhh...! MT ni jeshi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magerezaMhhhhh...! MT ni jeshi gani?
Hizo gari zinalimiliwa na shirika la reli (TRL)Kuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Hiyo ni gari ya ikulu. Benz zote za ikulu zina maandishi hayoNiliona mercedes benz S 550 nyeusi ina namba "STATE CAR 7"
1. Kibao chenye rangi ya njano na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kutumika kwa ajili ya shughuli binafsi. Kwa kiingereza inasemwa "private use". Magari yenye vibao hivi hayaruhusiwi kutumika kwa ajili ya biashara.
2. Kibao chenye rangi nyeupe na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kwa ajili ya matumizi ya biashara. Kwa kiingereza inasemwa "commercial use". Mfano mzuri daladala au basi za kubeba abiria na taxi.
3. Kibao chenye rangi ya njano na namba haianzi na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na taasisi ya umma au serikali. Hapa kuna makundi yafuatayo:
(a) SU - shirika la umma , mfano vyuo vikuu vya serikali
(b) SM - Serikali za Mitaa , mfano ni halmashauri
(c) STK,STL,STJ - serikali, mfano ni wizara
4. Kibao chenye rangi nyekundu na namba inayoanza na herufi DFP au DFPA
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limetolewa kwa ajili ya matumizi ya miradi inayofadhiliwa na wafadhili kutoka nje ya nchi.
5. Kibao chenye rangi ya bluu na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na moja ya shirika la umoja wa mataifa. Mfano shirika la Afya Duniani (WHO).
6. Kibao chenye rangi ya kijani na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na ofisi za ubalozi wa nchi fulani. Mfano ubalozi wa Ufaransa.
7. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya njano
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Polisi. Namba hizi huwa na herufi PT
8. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya njano
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Wananchi (JW). Namba hizi huwa na herufi JW.
9. Kibao chenye rangi ya kijani na namba zenye herufi MT
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Magereza.
![]()
Hiyo ni Railway I mean Railway Assets CorporationKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Magereza TanzaniaMhhhhh...! MT ni jeshi gani?
Kuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
CK- chizi kimbangu
Umeona wapi gari la CDF limeandikwa CDF?
Busara ni kitu cha bure kiongoz, sijamtusi mtu hapa kama ulikerwa na nlichopost ungekaa kimya may b wengine watapata ufahamu..
Tuwe wabunifu kwenye mambo ya msingi na si kuonyesha ubunifu na umahiri kwenye kutukana,
Hayo ni magari ya TRL mkuuKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
J-JudgeCGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
We boya upo? Merkiory Sanga Mzee wa Moro!Kibao chenye rangi ya kijivu na kimeandika MS ujue ni melkiorysarsanga