Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

MMM.....Mtendaji Mkuu wa Mahakama
JM....Jaji Mkuu
JK Jaji Kiongozi
J ikifatiwa na namba ni Jaji wa Mahakama Kuu namba hufuata seniority
JR ikifatiwa na namba ni Jaji wa Mahakama ya Rufani namba pia hufuata seniority
 
kuna hii hapa siielewi
 

Attachments

  • tmp-cam-1113947323.jpg
    tmp-cam-1113947323.jpg
    24.5 KB · Views: 72
CGI-Commissioner General Immigration

IGP-inspector General Police

CDF- Chief of Defence Forces

CGF- Commissioner General Fire

CGP- Commissioner General Prisons

CS- Chief Secretary

CAG- Comptroller and Auditor General

AG-Arttoney General

S-Speaker

N S-Naibu Speaker

KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni

Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Shukrani mkuu,sema wanachanganya lugha,wengine kiingereza,wengine kiswahili
 
Luna moja inapita na kingora escot kila siku hapa victoria .. imeandikwa JM
 
Back
Top Bottom