Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni shirika la Reli,namba za kijani ma njanoKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Hawa ni uhamiaji mkuuKuna nyeusi imeandikwa UT, rangi kama za vibao vya polisi, ni nani hawa?
Shukrani mkuu,sema wanachanganya lugha,wengine kiingereza,wengine kiswahiliCGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Ushavuta bange za uchagani au uheheniKibao chenye rangi ya kijivu na kimeandika MS ujue ni melkiorysarsanga
MAGWREZA TANZANIAMhhhhh...! MT ni jeshi gani?
Duuuh,,,,,nipo mzee kwema???Wapi wewe???We boya upo? Merkiory Sanga Mzee wa Moro!
Situmii bangeUshavuta bange za uchagani au uheheni
Tunaomba Jibu huku...kuna hii hapa siielewi
Acha uongoHata hivyo wote ni PT,police na prison. Futa ulichoquote.