Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
Akihitaji maelezo zaidi mwambie aje pm ama nifanye nae Safar moja
Unasafiri kwenda wap na wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akihitaji maelezo zaidi mwambie aje pm ama nifanye nae Safar moja
Kule nako hitajika ama nako chukua mahitajiUnasafiri kwenda wap na wap
Acha uongo lini umeona gari la mkuu wa majeshi limeandikwa CDF??CGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Zinaweza kuwa zinafanana na rwanda lakini hawajakosea hizo namba za railway toka zamani sana. Ukichunhuza utaona pia zina bendera ya Tanzania za Rwanda zitakuwa na bendera ya TwandaMada nzuri ila waliotoa maana ya RAC 3847 kwamba ni Railway Asset Corporation ni kudanganya wengine hizi ni plate number za Rwanda
Safi sana mkuu, Mana nilikuwa najiuliza sana haya magari ni ya watu gani?Uhamiaji Tanzania
Zimamoto TanzaniaLeo nimeona ZT mitaa ya Kinyantira, ndio nini maana yake.
Hapo namba 7 sio xxxx ni nyota ****Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. JK- Jaji Kiongozi
6. J- Jaji wa mahakama kuu
7. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
8. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
9. CS- Katibu mkuu kiongozi
10. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
11. NW-Naibu waziri
12. DFP-Donor's Fund project
13. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
14. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
15. PT-Police of Tanzania
16. SM-Serikali za mitaa
17. CD- Magari ya ubalozini
18. SU-Shirika la umma.
19. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
20. MT-Magereza Tanzania
21. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
22. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
BBC = British Broadcasting CorporationVip BBC na TBC
BBC ndio mdudu gani Tanzania? TBC najua ni Shirika la Umma.Vip BBC na TBC
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars,
2. Spika wa Bunge la Tanzania na Naibu wake
Spika wa Bunge pia gari lake huwa halina namba kwenye kibao chake bali huwa na herufi S pekee. Gari la Naibu Spika nalo huwa na herufi NS pekee
3. Jaji Mkuu wa Tanzania
Gari la Jaji Mkuu wa Tanzania huwa na herufi JM kwenye kibao chake
4. JR- Jaji wa Mahakama ya Rufaa
5. JK- Jaji Kiongozi
6. J- Jaji wa Mahakama Kuu
7. Mkuu wa Majeshi (CDF)
Gari la Mkuu wa Majeshi wa Tanzania katika kibao chake huwa hakuna namba wala herufi zozote bali kunakuwepo na Nyota nne kwenye kibao cha gari lake
8. CAG - Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
9. CS- Katibu mkuu kiongozi
10. Waziri na Naibu Waziri wa Wizara mbalimbali
Magari ya Waziri na Manaibu wao huwa na herufi zinazoonyesha cheo (kama ni waziri au Naibu waziri) halafu hufuatia ana vifupisho vya majina ya Wizara zao. Gari la Waziri huwa na herufi W ikifuatia na kifupisho cha jina la Wizara yake. Gari la Naibu waziri huwa na herufi NW ikifuatiwa na kifupisho cha jina la Wizara yake
View attachment 668115 View attachment 668114
12. DFP-Donor's Fund project
13. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
14. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
15. PT-Police of Tanzania
16. SM-Serikali za mitaa
17. CD- Magari ya ubalozini
18. SU-Shirika la umma.
19. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
20. MT-Magereza Tanzania
21. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
22. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
Kwa kipindi hiki imekua taab maana Wizara nyingi zimeunganishwa na kuwa moja mkuuNamba za Mawaziri zinachanganya sana. Tafadhali mtoa hoja ingekuwa vema ukatuwekea vile vifupisho vya Namaba za Magari ya Mawaziri na Manaibu wao. Vile vifupisho vyake ni taabu sana kuving'amua kwa harakaharaka.
Mkuu hao waache tu kama walivyo utaumiza kichwa sanaHujaeka za usalama