Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

IMG_1996.jpg

Je hii plate number ni ya taasisi gani ya serikali?
 
Habari

Niko nje ya mada kidogo Kuna Magari SU uwa yanakuwa Moja katikati kubwa na madogo mbele na nyuma Escort uwa yanasafirisha nini?
Nawasilisha
 
Magari ya benki kuu, yanasafirisha pesa (cash-in-transit). Kama uliona ile benzi kubwa ya kijivu (armored vehicle) basi ndio hivyo.
 
Kama ni pesa basi zinasafirisha kienyeji sana.... Kuna siku natoka Singida Naenda dom Nilipishana nayo yakiwa mbele limetangulia dogo na king'ola afu haya makubwa matatu yakawa kati ila kwa gap kubwa kubwa na mwishoni ndo ndogo yenye king'ola. Dereva wangu akaniambia hizi gari ni za watu wa Tanesco. Siku ya Jana nikayaona Kuna alieniambia ni ya watu wa Hospitali Mule wanasafirisha kemikali za Mahospital
 
😀 😀 Nawe ukakubaliana nae kwamba Quinine, Dawa tatu na paracetamol zinasafirishwa kwa escort kweli? Zile ni pesa za benki kuu, zinasambazwa kwenye matawi. Zile gari ziko armored, hata likidondoka si rahisi kabisa kutoa mshiko kwa sababu kile ni chuma kizito kilichotumika kutengeneza bodi na kuna ulinzi kama safe za kutunzia fedha.
 
Habari

Niko nje ya mada kidogo Kuna Magari SU uwa yanakuwa Moja katikati kubwa na madogo mbele na nyuma Escort uwa yanasafirisha nini?
Nawasilisha
...Ni gari za BOT zinzkua zimebeba Pesa....Sema sasa hizo Pesa haziibiki
 
Back
Top Bottom