Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Donor's funded project.Donor Funded Project
Mkuu, miradi sio ya donors, ni ya serikali yetu. Donors wanatoa fedha tu kusaidia. Hivyo Donor Funded Project ni sahihi.Donor's funded project.
Jeshi la UhifadhiJU ni plate ya nani?
Jeshi la Usi,( tanapa,tawa)Jeshi la Uhifadhi
Maana yake nnMitambo kama Dozzer unakuta "CW"
Comworks ..lilikua shirika la serikaliMaana yake nn
Ni za serikali, za jeshi la ZimamotoPlate no zinazoanza na herufi Z ni za nani
UsalamaView attachment 2467464
Je hii plate number ni ya taasisi gani ya serikali?
Kipindi cha nyuma ilikuwa ngumu sana kuwafahamu usalama.Usalama
Kipindi cha nyuma ilikuwa ngumu sana kuwafahamu usalama.
Ila sahivi ni rahisi mno. Wamekaa kienyeji mno.
Magari ya benki kuu, yanasafirisha pesa (cash-in-transit). Kama uliona ile benzi kubwa ya kijivu (armored vehicle) basi ndio hivyo.Habari
Niko nje ya mada kidogo Kuna Magari SU uwa yanakuwa Moja katikati kubwa na madogo mbele na nyuma Escort uwa yanasafirisha nini?
Nawasilisha
Kama ni pesa basi zinasafirisha kienyeji sana.... Kuna siku natoka Singida Naenda dom Nilipishana nayo yakiwa mbele limetangulia dogo na king'ola afu haya makubwa matatu yakawa kati ila kwa gap kubwa kubwa na mwishoni ndo ndogo yenye king'ola. Dereva wangu akaniambia hizi gari ni za watu wa Tanesco. Siku ya Jana nikayaona Kuna alieniambia ni ya watu wa Hospitali Mule wanasafirisha kemikali za MahospitalMagari ya benki kuu, yanasafirisha pesa (cash-in-transit). Kama uliona ile benzi kubwa ya kijivu (armored vehicle) basi ndio hivyo.
😀 😀 Nawe ukakubaliana nae kwamba Quinine, Dawa tatu na paracetamol zinasafirishwa kwa escort kweli? Zile ni pesa za benki kuu, zinasambazwa kwenye matawi. Zile gari ziko armored, hata likidondoka si rahisi kabisa kutoa mshiko kwa sababu kile ni chuma kizito kilichotumika kutengeneza bodi na kuna ulinzi kama safe za kutunzia fedha.Kama ni pesa basi zinasafirisha kienyeji sana.... Kuna siku natoka Singida Naenda dom Nilipishana nayo yakiwa mbele limetangulia dogo na king'ola afu haya makubwa matatu yakawa kati ila kwa gap kubwa kubwa na mwishoni ndo ndogo yenye king'ola. Dereva wangu akaniambia hizi gari ni za watu wa Tanesco. Siku ya Jana nikayaona Kuna alieniambia ni ya watu wa Hospitali Mule wanasafirisha kemikali za Mahospital
...Ni gari za BOT zinzkua zimebeba Pesa....Sema sasa hizo Pesa haziibikiHabari
Niko nje ya mada kidogo Kuna Magari SU uwa yanakuwa Moja katikati kubwa na madogo mbele na nyuma Escort uwa yanasafirisha nini?
Nawasilisha