Zijue nchi wanachama wa OIC

21.Iran
22.Uganda
 
Ungetupa na faida zake ili watu wajue umuhumu wa kujiuga OIC
OIC ni muungano wa mataifa ya kiislam ulioanzishwa 1969 kwaajili ya mataifa ya kiislam ama yenye idadi kubwa ya waislam kwaajili ya masuala ya dini na mahsusi zingine za maendeleo ikiwemo uongozi na uchumi.
 
Uchimi wa Indonesia juhudi zao wenyewe bhana acha uongo,kwaiyo izi nchi nyingine kama Bangladesh imekuaje mpaka Leo azijiwez kiuchumi?
Bangladesh halipo kwenye OIC.
Pia Bangladesh wana matatizo ya madeni mengi ya WB/IMF na ni nchi inayosumbuliwa na corruption.
Ukitaja mataifa yenye corruption kubwa Far East Bangladesh lazima uiweke.
Bangladesh ni kama Sri Lanka.

Kafuatilie nani aliyewekeza sana hapo Indonesia ukimtoa China kama sio Qatar na UAE.
Qatar na UAE wana mikataba ya maendeleo hapo Indonesia ya kufa mtu.
 
Bangladesh oic imejitoa mwaka gan?
 
Kati ya hizo 57 ni zipi zinazofuata sheria za kiisilamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…