Huwa nasikitika sana kuona maeneo makubwa yanatumika kuzikia watuNjia ya kuchomwa moto ni bora sana
Kabisa ni matumizi mabya ya ardhiHuwa nasikitika sana kuona maeneo makubwa yanatumika kuzikia watu
Ila hii njia ya kuchoma ni nzuri maana haihitaji kutumia ardhi kubwa
Inaaribu mazingira kwa kukata miti kuchomea. Au kama ni gesi carbon emissionsHuwa nasikitika sana kuona maeneo makubwa yanatumika kuzikia watu
Ila hii njia ya kuchoma ni nzuri maana haihitaji kutumia ardhi kubwa
Mwili ni sehemu ndogo sana ya binadamu. Mwili ni 1%, nafsi 9% roho 90%. Hayo ni makadirio yangu. Ni bahati mbaya sana wengi tunaupa mwili thamani kubwa kuliko unavyostahiliwakuu hebu nisaidieni
wakristo huamini wafu watakuja kufufuliwa siku ya hukumu ,sasa vipi kwa hao wanaochomwa moto kuwa majivu watafufuliwaje kwa mfano?
nashukuru kwa mchanganuoMwili ni sehemu ndogo sana ya binadamu. Mwili ni 1%, nafsi 9% roho 90%. Hayo ni makadirio yangu. Ni bahati mbaya sana wengi tunaupa mwili thamani kubwa kuliko unavyostahili
Kufufuliwa ni dhana ya walio wachache huku duniani. Kama roho haifi inafufiliwa nini? Mtu ni roho zaidi kulingana na hizo data nilizokadiria. Mwili ndio unakufa. Hata hivyo wakristo wanaamini watapewa mwili mwingine hiyo siku ya ufufuo.nashukuru kwa mchanganuo
nikiwahi fundishwa kanisani kwamba mtu akifa roho(90% kwa maelezo Yako) hurudi kwa muumba ,nafsi(9%) ndio Ina rekodi ya matendo ya mtu na mwili (1%) ndio huonja mauti
hapo Bado Nina maswali mawili;
1.swali langu la msingi kitafufuliwa kipi kati ya hivyo vitatu ,mwili,nafsi au roho
2.Linaibuka swali lingine kitachoadhibiwa jehanamu nini Roho au nafsi au huo mwili utakaofufuliwa (nb: hii wajuzi wa theolojia au wasomaji wazuri wa bible mnisaidie)
Nawachagulia njia ya moto wale ambao hawakuishi vyema na jamii wakati wa maisha ya utumishi kwa jamii!Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika:
1. Kuzikwa ardhini (kaburini)
Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa nguo maalum au sanda, kisha hufukiwa kwenye kaburi.
Inatumika sana katika dini za Kikristo na Kiislamu.
2. Kuchomwa moto (Cremation)
Mwili wa marehemu huchomwa kwa moto mkali hadi kuwa majivu.
Baadhi ya familia huifadhi majivu kwenye chungu maalum, kuyatawanya baharini, au sehemu yenye kumbukumbu.
Hupatikana zaidi katika tamaduni za Kihindu na baadhi ya jamii za Kiasia.
3. Kuzamishwa majini
Mwili huwekwa kwenye jeneza maalum au kufungwa kwa uzito na kuzamishwa baharini au mtoni.
Njia hii hutumika sana na wanamaji (wafanyakazi wa meli, wanajeshi wa majini).
4. Kuegeshwa juu ya ardhi (Mausoleum au Tombs)
Mwili hauzikwi ardhini bali huwekwa kwenye jengo au kaburi lililojengwa juu ya uso wa dunia.
Mfano ni makaburi ya kifalme, viongozi au watu mashuhuri (mfano: Piramidi za Misri).
5. Kuzikwa hewani (Sky Burial)
Inapatikana zaidi Tibet na baadhi ya jamii za Himalaya.
Mwili huachwa juu ya mlima ili ndege wa pori (hasa tai) waule. Imani yao ni kwamba roho tayari imeondoka na mwili ni sadaka ya kurudisha kwa asili.
6. Kufunikwa na barafu (Frozen burial)
Baadhi ya jamii za kaskazini (Eskimo/Innuit) hufunika mwili kwenye barafu au theluji kwa sababu ya mazingira.
Zamani, pia walitengeneza makaburi ya mawe juu ya barafu.
7. Kuzikwa kwenye mapango
Mwili huwekwa kwenye pango la asili au lililochimbwa.
Njia hii ilitumika sana na watu wa kale, mfano mapango ya Palestina ya enzi za Biblia.
8. Kuhifadhi mwili (Mummification)
Mwili huondolewa viungo fulani, kisha huwekwa dawa ili usioze haraka.
Ilitumika sana Misri ya kale kwa farao na watu mashuhuri.
9. Mazishi ya kijani (Green burials)
Ni njia za kisasa ambapo mwili hauwekwi kwenye jeneza
Mwili huzikwa ardhini kwa njia rafiki kwa mazingira ili uchangie rutuba.
10. Kuhifadhi kwa kisayansi (Cryonics)
Baadhi ya watu wenye uwezo kifedha huhifadhiwa kwa baridi kali (frozen) wakitumaini teknolojia ya baadaye itaweza kuwarejesha.
-Mwili hauwezi kuchomwa moto maana utakua haupo umeshaoza kaburini2.Linaibuka swali lingine kitachoadhibiwa jehanamu nini Roho au nafsi au huo mwili utakaofufuliwa (nb: hii wajuzi wa theolojia au wasomaji wazuri wa bible mnisaidie)
Hapo kwenye kuzika ardhini,kwa wakristu na waisiamu,umeeleza kwamba miili/maiti huoshwa na kuvalishwa kisha kuzikwa.Je,hizo njia nyingine maiti/miili haioshwi na kuvikwa mavazi/sanda?Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika:
1. Kuzikwa ardhini (kaburini)
Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa nguo maalum au sanda, kisha hufukiwa kwenye kaburi.
Inatumika sana katika dini za Kikristo na Kiislamu.
2. Kuchomwa moto (Cremation)
Mwili wa marehemu huchomwa kwa moto mkali hadi kuwa majivu.
Baadhi ya familia huifadhi majivu kwenye chungu maalum, kuyatawanya baharini, au sehemu yenye kumbukumbu.
Hupatikana zaidi katika tamaduni za Kihindu na baadhi ya jamii za Kiasia.
3. Kuzamishwa majini
Mwili huwekwa kwenye jeneza maalum au kufungwa kwa uzito na kuzamishwa baharini au mtoni.
Njia hii hutumika sana na wanamaji (wafanyakazi wa meli, wanajeshi wa majini).
4. Kuegeshwa juu ya ardhi (Mausoleum au Tombs)
Mwili hauzikwi ardhini bali huwekwa kwenye jengo au kaburi lililojengwa juu ya uso wa dunia.
Mfano ni makaburi ya kifalme, viongozi au watu mashuhuri (mfano: Piramidi za Misri).
5. Kuzikwa hewani (Sky Burial)
Inapatikana zaidi Tibet na baadhi ya jamii za Himalaya.
Mwili huachwa juu ya mlima ili ndege wa pori (hasa tai) waule. Imani yao ni kwamba roho tayari imeondoka na mwili ni sadaka ya kurudisha kwa asili.
6. Kufunikwa na barafu (Frozen burial)
Baadhi ya jamii za kaskazini (Eskimo/Innuit) hufunika mwili kwenye barafu au theluji kwa sababu ya mazingira.
Zamani, pia walitengeneza makaburi ya mawe juu ya barafu.
7. Kuzikwa kwenye mapango
Mwili huwekwa kwenye pango la asili au lililochimbwa.
Njia hii ilitumika sana na watu wa kale, mfano mapango ya Palestina ya enzi za Biblia.
8. Kuhifadhi mwili (Mummification)
Mwili huondolewa viungo fulani, kisha huwekwa dawa ili usioze haraka.
Ilitumika sana Misri ya kale kwa farao na watu mashuhuri.
9. Mazishi ya kijani (Green burials)
Ni njia za kisasa ambapo mwili hauwekwi kwenye jeneza
Mwili huzikwa ardhini kwa njia rafiki kwa mazingira ili uchangie rutuba.
10. Kuhifadhi kwa kisayansi (Cryonics)
Baadhi ya watu wenye uwezo kifedha huhifadhiwa kwa baridi kali (frozen) wakitumaini teknolojia ya baadaye itaweza kuwarejesha.
Maziko huendana na tamaduni za sehemu husika.Hivi kwan nn wakristo hatuzikwi kama yesu alivyozikwa
Kwani unaamini nini juu ya habari ya peponi na motoni baada ya maisha ya duniani ya uzimaKwani hata wakichomwa moto kuna shida gani wakati wanakua wameshakufa?