Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwamba wataumia wakichomwa moto na kulia?Nawachagulia njia ya moto wale ambao hawakuishi vyema na jamii wakati wa maisha ya utumishi kwa jamii!
Kwamba wataumia wakichomwa moto na kulia?Nawachagulia njia ya moto wale ambao hawakuishi vyema na jamii wakati wa maisha ya utumishi kwa jamii!
Kwani kinachoenda motoni ni mwili huu huu? Mkuu ukishakufa huu mwili hauna kazi tena ndio maana watu wanakuja na njia mbalimbali za kuuteketezaKwani unaamini nini juu ya habari ya peponi na motoni baada ya maisha ya duniani ya uzima
Na sio dini?Maziko huendana na tamaduni za sehemu husika.
Nusu kwa nusu.Na sio dini?