Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Sep 2, 2025 #21 Vessel said: Nawachagulia njia ya moto wale ambao hawakuishi vyema na jamii wakati wa maisha ya utumishi kwa jamii! Click to expand... Kwamba wataumia wakichomwa moto na kulia?
Vessel said: Nawachagulia njia ya moto wale ambao hawakuishi vyema na jamii wakati wa maisha ya utumishi kwa jamii! Click to expand... Kwamba wataumia wakichomwa moto na kulia?
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Sep 2, 2025 Thread starter #22 Vessel said: Kwani unaamini nini juu ya habari ya peponi na motoni baada ya maisha ya duniani ya uzima Click to expand... Kwani kinachoenda motoni ni mwili huu huu? Mkuu ukishakufa huu mwili hauna kazi tena ndio maana watu wanakuja na njia mbalimbali za kuuteketeza
Vessel said: Kwani unaamini nini juu ya habari ya peponi na motoni baada ya maisha ya duniani ya uzima Click to expand... Kwani kinachoenda motoni ni mwili huu huu? Mkuu ukishakufa huu mwili hauna kazi tena ndio maana watu wanakuja na njia mbalimbali za kuuteketeza
Mchawi_mweupe Member Joined Jul 31, 2025 Posts 9 Reaction score 22 Sep 2, 2025 #23 Moisemusajiografii said: Maziko huendana na tamaduni za sehemu husika. Click to expand... Na sio dini?
Moisemusajiografii said: Maziko huendana na tamaduni za sehemu husika. Click to expand... Na sio dini?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Sep 2, 2025 #24 Mchawi_mweupe said: Na sio dini? Click to expand... Nusu kwa nusu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 4, 2025 #25 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw