Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mwanajeshi mwenye katiba ya ccm ofisniKwahiyo takukuru inawajibika chini ya ccm na sio kutenda haki na ikasimama yenyewe Kama yenyewe.mwanajeshi mzima anatia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanajeshi mwenye katiba ya ccm ofisniKwahiyo takukuru inawajibika chini ya ccm na sio kutenda haki na ikasimama yenyewe Kama yenyewe.mwanajeshi mzima anatia aibu.
Sijawahi kutoa rushwa yoyote Mimi aisee
Hilo lina ukweli wa angalau asilimia 95Sababu nyingine ya kuchelewa ni kwamba
Watakaokatwa wasiweze kwenda kwenye vyama vingine,kwani mchakato wa tume ya uchaguzi ya uchukuaji wa fomu utakuwa umeisha.
Mbona ACT hawajatoa majina na CDM wametoa nusu nao wanaogopa nini au wanavizia makombo toka CCM?Wanasubiri dakika ya mwisho ili wasiamie UPINZANi .CCM ya sasa no waoga kuliko ilivyowahi kutokea.This is delay tactics hizi tunaita kwa kichagga
Kwamba wameona zigo limekuwa zito[emoji23][emoji23][emoji23]Takukuru wamerudisha mpira CCM!
ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha.Sababu ya pili ni sauti za makada na wananchi kuhusu nani arudishwe wapi kugombea. Kuna waliokataliwa majimboni lakini wanatakiwa uongozini; kuna waliopita majimboni lakini hawatakiwi chamani na uongozini; kuna waliokataliwa lakini wanatakiwa huko huko majimboni. Kamati Kuu imetumia muda wa kutosha kutega masikio yake huko site ili kujiridhisha kabla ya kufanya uamuzi wake. Je, waliokatwa wataandikwa tena?
Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.
Duh yaani maik wamerudisha kwa mwalimu Kashasha!Takukuru wamerudisha mpira CCM!
Wawapeleke tu NCCR, TLP, CUF na UDP kwa mkopoWanasubiri dakika ya mwisho ili wasiamie UPINZANi .CCM ya sasa no waoga kuliko ilivyowahi kutokea.This is delay tactics hizi tunaita kwa kichagga
Halafu mtu timamu kweli anaweza sema serikali ya CCM na TAKUKURU yake kweli wanapambana na rushwa!??Takukuru wamerudisha mpira CCM!
Kama wamemchoka wamtumie yuleyule aliemfanyizia Mzee Mangula.Ajiuzulu akale wapi? Hizo kelele za kwamba anachukia rushwa ni kelele za kuwazuga wananchi. Yeye mwenyewe na mwenyekiti wake hawana uwezo wa kumnyooshea yoyote kidole, maana ndio walikuwa wanatoa rushwa ili kuwanunua wapinzani kwenye ile project ya kuunga juhudi. Hilo ndio lilisukuma watia nia wa ccm kugawa rushwa waziwazi, maana wanajua hamna vita serious ya rushwa zaidi ya siasa.
Hicho kichakubanga katika kamati kuu ndio pekee chenye roho ya kijumbe jumbe sijui kama kitawaambukiza kina jiwe na bashiru ujumbejumbeeeKumbe? Mimi pia nilikuwa najiuliza kunani pale CCM makao makuu? Huku polepole akijigamba kuwashikisha waheshimiwa wakubwa adabu mwaka huu. Hivi mwenyekiti akimgeuka atajiuzulu kwa msimamo wake kutosikilizwa?
Majimbo yote CCM rushwa imetembea balaa,wakisha kuchukua hatua itakuwa kumvua nguo baba.Kwamba wameona zigo limekuwa zito[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Ndugai ilikuwa rushwa ukibisha, rungu.Majimbo yote CCM rushwa imetembea balaa,wakisha kuchukua hatua itakuwa kumvua nguo baba.
Inabidi wamwambie mfalme nguo aliyoivaa imempendeza sana sana.
Huko Ruangwa naambiwa mtu anahangaika ili apite bila kupingwa.
Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.
Huyo alitoa rushwa, sio wa kuachwa!Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.
Enzi za funika kombe..hazipo tena, acha kuzungusha kichwa uone makengeza bwn, msimamo wa M/kiti, wasaidiz wake, Katibu Mkuu na sekretariat yote unajulikana..watu wenye sifa, hakuna sifa ya pesa kwenye sifa zilizotajwa! wakati mwngn sabab za kutoendelea kwetu kunatokana na watu wa aina ya huyu aliyeandika hapa, anazunguka zunguka wakat mambo yako wazi kabisa..huwezi ishinda rushwa kwa misemo ya kijinga jinga kama aliyotoa huyu, ni bora upate mtu safi hata km wanaccm hawamtaki lakini atafanya kazi nzuri kwa nchi..Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina ya Wagombea wa Ubunge wa Majimbo wa CCM Tanzania Bara na Visiwani.
Zipo sababu mbili zilizochelewesha vikao vya Kamati Kuu. Kwanza, kuna tuhuma lukuki za rushwa kwenye mchakato wa kura za maoni majimboni. Taarifa zimemiminwa CCM kutoka TAKUKURU, waliogombea, makada hadi wananchi wa kawaida kuhusu vitendo vya rushwa kwenye kura za maoni chamani. Kamati ya Maadili ya chama imeelemewa na makabrasha ya tuhuma kutoka karibu kila mkoa wa Tanzania.
Katika hilo la rushwa, kuna wakubwa chamani wanataka itumike FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE katika kupata suluhu la jambo hilo. Yaani, rushwa isionekane kwenye macho ya wanaKamati Kuu na hivyo wagombea waangaliwe kwa vigezo vinginevyo kama kukubalika na si rushwa. Inapendeezwa kuonwa kuwa wagombea walizidiana dau wenyewe kwenye majimbo yao. Kuna mvutano mkubwa kwenye Kamati ya Maadili na hata baina ya viongozi waandamizi wa chama.
Sababu ya pili ni sauti za makada na wananchi kuhusu nani arudishwe wapi kugombea. Kuna waliokataliwa majimboni lakini wanatakiwa uongozini; kuna waliopita majimboni lakini hawatakiwi chamani na uongozini; kuna waliokataliwa lakini wanatakiwa huko huko majimboni. Kamati Kuu imetumia muda wa kutosha kutega masikio yake huko site ili kujiridhisha kabla ya kufanya uamuzi wake. Je, waliokatwa wataandikwa tena?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwa sasa jijini Dodoma)
Wasifanye kosa la kumpitisha Bashite kwasababu kwa kufanya hivyo watakuwa wanabariki rushwa katika chama na serikali ;hivyo kufanya vita ya kupanbana na rushwa kuwa maigizo tu inayowalenga wsiokuwa na GODFATHER!!!