Uchaguzi 2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

Sababu nyingine ya kuchelewa ni kwamba

Watakaokatwa wasiweze kwenda kwenye vyama vingine,kwani mchakato wa tume ya uchaguzi ya uchukuaji wa fomu utakuwa umeisha.
Hilo lina ukweli wa angalau asilimia 95
 
Wanasubiri dakika ya mwisho ili wasiamie UPINZANi .CCM ya sasa no waoga kuliko ilivyowahi kutokea.This is delay tactics hizi tunaita kwa kichagga
Mbona ACT hawajatoa majina na CDM wametoa nusu nao wanaogopa nini au wanavizia makombo toka CCM?
 
Mafisiem wanachukia rushwa sana ndio mana watia nia wametembeza mlungula kuunga juhudi za mwenyekiti wao....mwenyekiti anapenda rushwa balaa ananunua binadamu kuunga juhudi awamu yake
 
ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha.
 
Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.

Wasifanye kosa la kumpitisha Bashite kwasababu kwa kufanya hivyo watakuwa wanabariki rushwa katika chama na serikali ;hivyo kufanya vita ya kupanbana na rushwa kuwa maigizo tu inayowalenga wsiokuwa na GODFATHER!!!
 
Wanasubiri dakika ya mwisho ili wasiamie UPINZANi .CCM ya sasa no waoga kuliko ilivyowahi kutokea.This is delay tactics hizi tunaita kwa kichagga
Wawapeleke tu NCCR, TLP, CUF na UDP kwa mkopo
 
Kama wamemchoka wamtumie yuleyule aliemfanyizia Mzee Mangula.
 
Kumbe? Mimi pia nilikuwa najiuliza kunani pale CCM makao makuu? Huku polepole akijigamba kuwashikisha waheshimiwa wakubwa adabu mwaka huu. Hivi mwenyekiti akimgeuka atajiuzulu kwa msimamo wake kutosikilizwa?
Hicho kichakubanga katika kamati kuu ndio pekee chenye roho ya kijumbe jumbe sijui kama kitawaambukiza kina jiwe na bashiru ujumbejumbeee
 
Kwamba wameona zigo limekuwa zito[emoji23][emoji23][emoji23]
Majimbo yote CCM rushwa imetembea balaa,wakisha kuchukua hatua itakuwa kumvua nguo baba.
Inabidi wamwambie mfalme nguo aliyoivaa imempendeza sana sana.
Huko Ruangwa naambiwa mtu anahangaika ili apite bila kupingwa.
 
Kwa Ndugai ilikuwa rushwa ukibisha, rungu.
 
Enzi za funika kombe..hazipo tena, acha kuzungusha kichwa uone makengeza bwn, msimamo wa M/kiti, wasaidiz wake, Katibu Mkuu na sekretariat yote unajulikana..watu wenye sifa, hakuna sifa ya pesa kwenye sifa zilizotajwa! wakati mwngn sabab za kutoendelea kwetu kunatokana na watu wa aina ya huyu aliyeandika hapa, anazunguka zunguka wakat mambo yako wazi kabisa..huwezi ishinda rushwa kwa misemo ya kijinga jinga kama aliyotoa huyu, ni bora upate mtu safi hata km wanaccm hawamtaki lakini atafanya kazi nzuri kwa nchi..
 
Wasifanye kosa la kumpitisha Bashite kwasababu kwa kufanya hivyo watakuwa wanabariki rushwa katika chama na serikali ;hivyo kufanya vita ya kupanbana na rushwa kuwa maigizo tu inayowalenga wsiokuwa na GODFATHER!!!

Rushwa ipl Sasa. Hivi unajua fedha walizolipwa Wajumbe na Vitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…