Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

Kiukwel hiv wale mbuzi ni wanani..wanavuka barabara..wanavaa hadi barakoa
 
Kiukwel hiv wale mbuzi ni wanani..wanavuka barabara..wanavaa hadi barakoa
Mpemba wa hapo hapo Jirani na hao Mbuzi wameshasababisha Watu kadhaa kutangulia Kaburini kulala Usingizi wao wa Milele huku wengine walio Hai hivi sasa kuwa Vilema wa Kudumu na hata Wendawazimu ( Matahaira )
 
Ni kochokocho kochokocho kochokochoko
 
Sio kweli jamaa.
Fiston ni watu wawili na nusu.
Sema nini apewe muda na Kaze mpaka sasa bado ajapanga vema kikosi chake mwisho wa huu mzunguko wa pili,anabahatisha sana.
yani mi naona Fiston ni Saprong aliyechangamka!! 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…