Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.

Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka, kuendeleza kulisongesha.

Kinana ana umri wa miaka 71, the big surprise ni kama mtu mwenye umri wa miaka 71, ameachia nafasi ili kupisha damu changa, halafu anayeletwa kujaza nafasi hiyo ni mtu mwenye umri wa miaka 80!, hili ni bonge la surprise!.

Swali la kwanza kujiuliza ni Why Wasira?.

Kwa maoni yangu Stephen Wasira, he is the right man at the right time & the right place, who will do it right!. To me Wasira is a special project!, ikikamilika, na yeye atang'atuka kupumzika, just kama Kinana!.

Sababu pekee iliyomfanya Wasira kuteuliwa ni uwezo wake wa uelewa na anavyomwelewa Rais Samia, na uwezo wake wa kujieleza, na kuuelwzea umma Rais Samia anataka nini, hivyo uteuzi huu wa Wazira ni uteuzi wa kimkakati, kulikamilisha tuu lile jambo letu lile, likikamilika, na yeye pia atapumzika kama Kinana, sio lazima akamilishe miaka yote mitano!.

Swali la kwanza, je Wasira licha ya kuwa na umri wa miaka 80, hakuna ubishi kuwa Wasira ni Mzee, ila je amezeeka?. Kuna mtu kuwa na umri mkubwa na kuna mtu kuzeeka, sio kila mzee ni amezeeka, kuna wazee wana umri mkubwa lakini wako active kuliko vijana!.

Mimi na Wasira.
Mimi nimeingia newsroom Januari 2 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde hayo yakafanya tumpe jina la Stephen Tyson Wasira!.

Nilikuja kumfahamu vizuri na kwa karibu Stephen Wasira wakati nikiishi jijini New Delhi nchini India, Wasira akiwa katika moja ya ziara zake za kiserekali, alikuja India na kutembelea hapo nilipo na kuzungumza nae.

Baada ya kuondoka, kuna wadada watatu wa Kitanzania wakapiga umbeya, mmoja wa wadada hao akazungumzia sura yake, ndipo mdada mwingine akatumwagia ubuyu kuwa huyu jamaa yukp fit kweli kweli!, Bongo anagombaniwa, kuna watu wanapigana kwa ajili yake!, mara ghafla wale wadada nao wakaanza kumgombania!, hayo yeye hakuyajua!.

Hili za Uzee na kuzeeka, nilipokutana nae nilimuuliza swali kuhusu yeye kuzeeka.
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=a7BFb6YvGKVk40iM
Msikilize Hoja zake kumhusu Rais Samia
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=b-wlN6bc7m_JMbz8

Vipindi 4 vya 4R za Samia ambavyo Mzee Stephen Wasira ameshiriki

  1. View: https://youtu.be/MWTbctxfPG8?si=q2_P4M4H_Y6etqDs

  2. View: https://youtu.be/IPO5BSUaFzs

  3. View: https://youtu.be/K_QFYpGkRrM

Ukiangalia vipindi hivi, ukaisikia michanga ya Mzee Steven Wasira, utakubaliana na mimi huyu ni mmoja wa viongozi wachache wanaioelewa vizuri na kikamilifu falsafa ya 4R za Samia, na nadhani ndizo sababu zilizo muibua mkongwe huyu kwa ule mchaka mchaka wa project ya lile jambo letu lile!.

Karibu

Paskali
 
Wanabodi,

Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.

Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka, kuendeleza kulisongesha.

Kinana ana umri wa miaka 71, the big surprise ni kama mtu mwenye umri wa miaka 71, ameachia nafasi ili kupisha damu changa, halafu anayeletwa kujaza nafasi hiyo ni mtu mwenye umri wa miaka 80!, hili ni bonge la surprise!.

Swali la kwanza kujiuliza ni Why Wasira?.

Kwa maoni yangu Stephen Wasira, he is the right man at the right time & the right place, who will do it right!. To me Wasira is a special project!, ikikamilika, na yeye atang'atuka kupumzika, just kama Kinana!.

Sababu pekee iliyomfanya Wasira kuteuliwa ni uwezo wake wa uelewa na anavyomwelewa Rais Samia, na uwezo wake wa kujieleza, na kuuelwzea umma Rais Samia anataka nini, hivyo uteuzi huu wa Wazira ni uteuzi wa kimkakati, kulikamilisha tuu lile jambo letu lile, likikamilika, na yeye pia atapumzika kama Kinana, sio lazima akamilishe miaka yote mitano!.

Swali la kwanza, je Wasira licha ya kuwa na umri wa miaka 80, hakuna ubishi kuwa Wasira ni Mzee, ila je amezeeka?. Kuna mtu kuwa na umri mkubwa na kuna mtu kuzeeka, sio kila mzee ni amezeeka, kuna wazee wana umri mkubwa lakini wako active kuliko vijana!.

Mimi na Wasira.
Mimi nimeingia newsroom Januari 2 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde hayo yakafanya tumpe jina la Stephen Tyson Wasira!.

Nilikuja kumfahamu vizuri na kwa karibu Stephen Wasira wakati nikiishi jijini New Delhi nchini India, Wasira akiwa katika moja ya ziara zake za kiserekali, alikuja India na kutembelea hapo nilipo na kuzungumza nae.

Baada ya kuondoka, kuna wadada watatu wa Kitanzania wakapiga umbeya, mmoja wa wadada hao akazungumzia sura yake, ndipo mdada mwingine akatumwagia ubuyu kuwa huyu jamaa yukp fit kweli kweli!, Bongo anagombaniwa, kuna watu wanapigana kwa ajili yake!, mara ghafla wale wadada nao wakaanza kumgombania!, hayo yeye hakuyajua!.

Hili za Uzee na kuzeeka, nilipokutana nae nilimuuliza swali kuhusu yeye kuzeeka.
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=a7BFb6YvGKVk40iM
Msikilize Hoja zake kumhusu Rais Samia
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=b-wlN6bc7m_JMbz8

Ukiangalia vipindi hivi, ukaisikia michanga ya Steven Wasira, utakubaliana na mimi huyu ni mmoja wa viongozi wachache wanaioelewa vizuri na kikamilifu falsafa ya 4R za Samia, na nadhani ndizo sababu zilizo muibua mkongwe huyu kwa ule mchaka mchaka wa project ya lile jambo letu lile!.

Karibu

Paskali

Usiandike sanaa wasira hapo ni Kama TOY .. Mhusika yupo Nyuma atakaefanya Kazi zote wameweka mtu msikivu ambaye ni Ngumu kukengeuka wao walidhani kumpitisha Wasira ni surprise lakini mpango umetumia
 
Kaa nje ya JF kidogo. Inatosha sasa mkuu. Duuh..

Social media waachie vijana wa 2000..
 
Kila la kheri kwake lakini mbona maelezo ya heading na content yake uwiano unakuwa mdogo sana.

The man is 80 years old(Does this support your claim of him being right man?).Mtu wa miaka 80 kweli anakuwa mtu sahihi ukiangalia mambo ya kisiasa yanavyokwenda dunia hii?(sawa kwa umri wake atakuwa na uzoefu wa kutosha lakini je ataweza kuwa na ushawishi ndani na nje ya CCM?)

Kama mtu wa miaka 71 kaomba kupisha damu changa,then analetwa mzee wa miaka 80 hii kwako unaona hili jambo liko sawa?(maana kwenye maelezo yako sijaona namna hii hoja imetolewa ufafanuzi zaidi ya kutoa habari kwamba aliwahi kupewa jina Tyson)
 
Wanabodi,

Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.

Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka, kuendeleza kulisongesha.

Kinana ana umri wa miaka 71, the big surprise ni kama mtu mwenye umri wa miaka 71, ameachia nafasi ili kupisha damu changa, halafu anayeletwa kujaza nafasi hiyo ni mtu mwenye umri wa miaka 80!, hili ni bonge la surprise!.

Swali la kwanza kujiuliza ni Why Wasira?.

Kwa maoni yangu Stephen Wasira, he is the right man at the right time & the right place, who will do it right!. To me Wasira is a special project!, ikikamilika, na yeye atang'atuka kupumzika, just kama Kinana!.

Sababu pekee iliyomfanya Wasira kuteuliwa ni uwezo wake wa uelewa na anavyomwelewa Rais Samia, na uwezo wake wa kujieleza, na kuuelwzea umma Rais Samia anataka nini, hivyo uteuzi huu wa Wazira ni uteuzi wa kimkakati, kulikamilisha tuu lile jambo letu lile, likikamilika, na yeye pia atapumzika kama Kinana, sio lazima akamilishe miaka yote mitano!.

Swali la kwanza, je Wasira licha ya kuwa na umri wa miaka 80, hakuna ubishi kuwa Wasira ni Mzee, ila je amezeeka?. Kuna mtu kuwa na umri mkubwa na kuna mtu kuzeeka, sio kila mzee ni amezeeka, kuna wazee wana umri mkubwa lakini wako active kuliko vijana!.

Mimi na Wasira.
Mimi nimeingia newsroom Januari 2 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde hayo yakafanya tumpe jina la Stephen Tyson Wasira!.

Nilikuja kumfahamu vizuri na kwa karibu Stephen Wasira wakati nikiishi jijini New Delhi nchini India, Wasira akiwa katika moja ya ziara zake za kiserekali, alikuja India na kutembelea hapo nilipo na kuzungumza nae.

Baada ya kuondoka, kuna wadada watatu wa Kitanzania wakapiga umbeya, mmoja wa wadada hao akazungumzia sura yake, ndipo mdada mwingine akatumwagia ubuyu kuwa huyu jamaa yukp fit kweli kweli!, Bongo anagombaniwa, kuna watu wanapigana kwa ajili yake!, mara ghafla wale wadada nao wakaanza kumgombania!, hayo yeye hakuyajua!.

Hili za Uzee na kuzeeka, nilipokutana nae nilimuuliza swali kuhusu yeye kuzeeka.
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=a7BFb6YvGKVk40iM
Msikilize Hoja zake kumhusu Rais Samia
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=b-wlN6bc7m_JMbz8

Ukiangalia vipindi hivi, ukaisikia michanga ya Steven Wasira, utakubaliana na mimi huyu ni mmoja wa viongozi wachache wanaioelewa vizuri na kikamilifu falsafa ya 4R za Samia, na nadhani ndizo sababu zilizo muibua mkongwe huyu kwa ule mchaka mchaka wa project ya lile jambo letu lile!.

Karibu

Paskali

Ungeanza na project ya kinana ni ipi hasa na imekamilikaje!!?

Kabla hujaleta blah blah za Wassira!
 
Kaa nje ya JF kidogo. Inatosha sasa mkuu. Duuh..

Social media waachie vijana wa 2000..
jamii forums ni mtandao wa watu wa rika zote! Na siyo hao vijana wa 2000 tu. Isitoshe mtoa mada humu ni kama nyumbani kwake, (yeye ni mmoja ya waanzilishi wa huu mtandao) hivyo sioni kama ni sahihi kumshauri kutoka.
 
Back
Top Bottom